Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Karibuni sana Arumeru ๐ #TukutaneSite
23,667 Aufrufe โข vor 27 Tagen โขvia X (Twitter)
27 Kommentare

Sukuma SGR line kutoka Himo-Moshi-KIA-Mto wa Mbu โโ Through PPP where a PLC company will be setup and wananchi can be shareholders. The need is there, wananchi tuko tayari, watalii wako tayari, only leadership is required.

... unganisha taa za barabara kutoka kia mpaka tengeru

Tujiandae sasa na magazeti ya kumpongeza mama mana huyu mhaya kwa kujipendekeza ni no 1

Duh kila mtu unapost kama Mox?

Mh DC!

Umeme mdogo

Tetelestai ๐ฎ๐ฎ๐ฎ

hongera

Mbona kule tulikuwa hatuoni post zake aisee

๐๐watu wanautaka umasikini kwa Hali na Mali kutoka ulaya mpaka Arumeru dadeki

Naomba namba zako mheshimiwa Nashida na wewe

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

unaacha kazi kule kwa kina KDB kwenye utawala wa sheria na haki unakuja kufanya kazi chini ya chama ambacho kikisikiq tu umetamka katiba mpya huna kazi aise umefanya maamuzi magumu sana

Nalengo ya Rais?? Dira 2050 ni ya Rais? Au Ilani ya CCM ni ya M/kiti wenu?

Iwe

Karibu Arumeru Mh. DC @neemalugangira

Malaya wewe. Mmoja baada ya mwingine mtafikiwa tu. Hamuwezi kuua maelfu ya Watanzania halafu mbaki salama. Mbwa wewe ๐

Jerry mulo ni DC wa wapi?just asking

Ushaanza ma camera yako kama Kawa, useless kabisa

Madam una mtu? Nilikua na jambo Sema usije nifanya kama yule chacha

Pesa za damu za october 29 hazitakuacha salama

Chawa kazini

Tunasonga mbele kwa kazi na utu

Umeupokea kwa uchungu sanaa. Imagine kutoka Brussels hadi Arumeru..Alafu hilo mwisho sio kwa umuhimu ndo lilipaswa liwe la msingi maan kukiwa na uchum mzuri basi mengine hupungua

๐๐๐๐

Hamna lolote jipya

Karibu sana sana
