Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Karibuni sapa na mama Miradi 😋😋
198,078 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 31

Pikia bwanako sio watu wa SM, hapa leta siasa ya kujenga future ya kenya.

Hii nikukosea chapati heshima

Voice over ni vituguu na unapika chapati jameni

Wacha hizi vipindi. Hazitaleta kura. Kuja kwanza nikuingize cbd nikupee vijana watakupigia shughuli

Mama miradi uko sawa but I'm asking kama Ajabu imekulipa ya advertisment na vile wanakunga na roho mbaya ya ukabila kazini kwao! wahindi wako na rift yao na black pia!

Apo ni wapi

Nairobi Tunakaliwa Chapati , Na mama Miradi

Naona Miradi☠️

😃😃😃 Lipa ombachi akuweke voice over

Hii mbili ushashiba

#Mamamiradi sii uguzwe roho leo ata mimi nikule Chapo 0717281946

Pia wewe unalima you never stole enough from Nairobi river committee

Dough umeweka Uganda ? Unaendea 5 minutes ama ni hali ya Exercise Mamaa ?

@RichieHub_

Kindly document for us hizi miradi unajiita. On a serious note.

Jameni😂

Tunamtafuta @Halimaprinces wetu kwanza tutakujia chapati baadae, thank you very important

Uliacha kupeana mkate asubui

Pin location

Waaah unajua kuroll

How can we trust people working for Zakayo??

Please learn to be less messy..unga Kila mahali it's like a bomb w as detonated there

Si kulikuwa na machine ya kupika Chapo wan milyon

Kujia hii 😋😋

Sasa ozempics itawork kweli kama bado unamenya ngano?

Eh, mathe, Mzee wako akona shida sana. Bibi anashinda Tik Tok ? I would divorce you asap !

Utanona tena

Tafuta ile pan ya ksh 300.Lets support our artisans.Lets support the Bama markets blacksmits.

Hi

Gari kubwa cooker ndogo

You will never step on that balcony. Done
