Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

Karibuni Shambani. ☺️☺️

16,291 görüntüleme • 7 ay önce •via X (Twitter)

32 Yorum

razaq muungwana profil fotoğrafı
razaq muungwana7 ay önce

Siasa ni kilimo hii inamaana jembe halimtupi mkulima hongera mh mzee naimani upo kwenye hadithi nzuri umekuwa mwanasiasa mahili hakika mungu akutunze

Raymond Kissava profil fotoğrafı
Raymond Kissava7 ay önce

Hongera sana mwekezaji @halimamdee barabara ya njia panda Mgala kwenda Ikombe tufanye jambo iwekwe tuta la kifusi. Wawekezaji ni wengi Sasa tunaweza kujiorganise tukaifanya ile barabara inayopitika mwaka mzima pia kupitia konection zako tunaweza pata usaidizi wa serikali

𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿 profil fotoğrafı
𝗡𝗚𝗨𝗖𝗛𝗜𝗥𝗢🇹🇿7 ay önce

KUMBE WAKULIMA TUPO WENGI NIKAJUA NI MIMI TU✍️🇹🇿

Adamee Ezekiel profil fotoğrafı
Adamee Ezekiel7 ay önce

Long time Madam , Me nitakaribia kuvuna

Gesaina Nyamisegere profil fotoğrafı
Gesaina Nyamisegere7 ay önce

Kwa kweli unastahili pongezi,hizi ndizo baraka za mungu

chalkboard teacher profil fotoğrafı
chalkboard teacher7 ay önce

Asante Allan okello "siasa ni kilimo Cha kufa na kupona"

duboisjr2003 profil fotoğrafı
duboisjr20037 ay önce

Kama mnataka mali...

𝗭𝗘𝗗 og profil fotoğrafı
𝗭𝗘𝗗 og7 ay önce

Kwan madam halima hauwezi kujibu nimekwambia nina mashamba Mbeya nataka nikukofoshie au ununue kbsa ulime mimi kulima sasa hivi siwez

kimbesa. profil fotoğrafı
kimbesa.7 ay önce

Hongera sana. Wale wazee wa kulialia na bei za unga wa ugali Kuna kitu cha kujifunza kwa Mh @halimamdee Inshort: hii nchi si yakununua UNGA wa ugali, sema tu watu wamechagua kukesha mitandaoni/kubet badala ya kuwekeza kwenye kilimo.

Elias Msuya profil fotoğrafı
Elias Msuya7 ay önce

Hongera mkulima

Zumbe Mtana profil fotoğrafı
Zumbe Mtana7 ay önce

@halimamdee hongera sana kwa kujikita kwenye kilimo. Utulivu wako katika maswala ya "kisiasa" ni top notch.

Gudjow1 profil fotoğrafı
Gudjow17 ay önce

Asante dada COVID tunashukuru🙏

Mbokoto Maganga profil fotoğrafı
Mbokoto Maganga7 ay önce

Bila shaka Namtumbo iyo mh?

TELAPATHIST profil fotoğrafı
TELAPATHIST7 ay önce

Mdada pekee ulieamua kuilinda heshima yako kwa wivu mkubwa

FREE NATION. profil fotoğrafı
FREE NATION.7 ay önce

Haa kumbe uko

theophiltz profil fotoğrafı
theophiltz7 ay önce

safi, hapo unapiga mafao bila kelele na mtu

Elia Sody profil fotoğrafı
Elia Sody7 ay önce

Naomba dili la kuvuna

Kayanda profil fotoğrafı
Kayanda7 ay önce

Mbolea mbolea mbolea

Isaya Jackson profil fotoğrafı
Isaya Jackson7 ay önce

Unaungana na ally happy

ZUMBE SAMCHEZO Jr profil fotoğrafı
ZUMBE SAMCHEZO Jr7 ay önce

Mh.nitakuja tuchome pamoja mawili matatu ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

Doctor Upupu. profil fotoğrafı
Doctor Upupu.7 ay önce

Mpaka leo jimbo la kawe halina mbunge kama wewe..

Kayanda profil fotoğrafı
Kayanda7 ay önce

Mbolea,, mbolea,,,, mbolea ,,, tafuta mbolea sahihi. Bado hujaweka mbolea hapo !!!

Syonangike profil fotoğrafı
Syonangike7 ay önce

@MkulimaKante Hongera Sana Halima.

Godwin Jisandu profil fotoğrafı
Godwin Jisandu7 ay önce

...chote, mambo yalivyojibainisha katika mchakato wa uchaguzi wa ndani ya chama, hasa taifa, namna ulivyojihusisha na unaoitwa uchaguzi mkuu 2025, utulivu wako mpaka sasa; vyote hivi vinanipa haki ya kuhitimisha kuwa wewe ni mzalendo. Mungu akuinue urudi kutetea wananchi!

Kante profil fotoğrafı
Kante7 ay önce

Hongera sana hon.

Gendelichuma S.A. (freedom fighter) profil fotoğrafı
Gendelichuma S.A. (freedom fighter)7 ay önce

Please H. M accept my request, I'm serious indeed, it is not about social media acts.

Joseph Mwinyi profil fotoğrafı
Joseph Mwinyi7 ay önce

Hongera kwa kazi nzuri muheshimiwa

Ustaazi Rev. Kishoka profil fotoğrafı
Ustaazi Rev. Kishoka7 ay önce

Hongera sana

omary juma profil fotoğrafı
omary juma7 ay önce

Kupitia shamba lako hili sina shaka umejifunza kwa vitendo yafuatayo: 1. Inputs km ushauri wa Kilimo,mbolea,viuatilifu,nk. hazipo karibu na mkulima. 2.Gharama kubwa ya upatikanaji wa hizo inputs,yaani kule kuvilera shambani. 3.Bei ya hizo inputs ni kubwa.

Benitho Mwapinga profil fotoğrafı
Benitho Mwapinga7 ay önce

Naomba mualiko wa kuja kuvuna tu Dada

4Africa2022@gmail.com profil fotoğrafı

Da HALIMA hongera sana sana. Shamba safii

Philemon charles profil fotoğrafı
Philemon charles7 ay önce

msaliti

Benzer Videolar

Akibat Keenakan ☺️☺️☺️
0:35

Sensitive content

Akibat Keenakan ☺️☺️☺️

Rahasia.Remaja

221,123 görüntüleme • 2 yıl önce