34 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Unalitenihapo
Kiuhalisia wanawake Huwa hawapendi watoto bali huwatumia kuwa-manipulate Wanaume
23 likes

@mangisina67
Wanawake weupe na upumbavu ni hivi🤝🏻
17 likes

@Thisisliie_
Kaka🤣🤣🤣🤣
1 like

@keithevans2685
Ukweli usipenda kuongelewa, watu wengi sana Tanzania wanataka watoto kwasababu Jamii Imewaambia wawe na Watoto ila sio kwasababu wao binafsi wanataka watoto
7 likes

@RexKeba
Mbona kama namuelewa huyu..Kama una Dada nyumbani ambaye amezalishwa alafu ametelekezwa lazima utamuelewa tu..Apelekee mama yake au nyanya yake.
4 likes

@kamod2015
Afanye hivyo aone, nampandisha cheo “house girl” siku hiyo hiyo anakua mama mwenye nyumba. Alafu naleta “house girl” mwingine.😂😂
3 likes

@master_plan6
Wa hivi huwaga hawaolewi hapo penyewe anaitafuta 40+
3 likes

@Kiddyhet1n
Hii usijaribu wife sema sisi hatutaachana
3 likes

@Thisisliie_
🤣🤣🤣🤣
1 like

@OfficialMkapa
Wanawake wengi wanawataka watoto sio kwa sababu wanawapenda bali kuwatumia wanaume ili kuendelea kula hela zake,mkianza hivyo wanaume wengi tutafurahi sana
2 likes

@Gervasmgaya3
Huyu kenge hajui raha ya watoto ndo maana anaropoka tu! Halafu Ajue anachojiropokea lazma kije kumtokee atakuja kuolewa na ataachika tu! Huo Mdomo utamponza sana.
2 likes

@Ngattaboe99
Huyu Atakuja kulia vibaya
2 likes

@ithemeddy
Anatafuta mwanaume wa kumuoa huyo kashachapika sana 🚮
2 likes

@Nasrikoo_store
Sasa sindio vizuri sisi wanaume wengine tunapenda watoto
2 likes

@josby992
Na wala haijawai beba mimba
1 like

@josby992
Hii takataka haijazaa bado
1 like

@Abdallahh_mau
NDOA utaisikia kwenye bomba tu,,,ngoja hiyo mbususu itepeteeee
1 like

@abdisaidi138006
uolewii kamweeeee ww waoaji wameishaaa
1 like

@chrisnpva30559
@BongeGody 😁😁
1 like

@sharpboy6j1b
Upo sahihi hao n watoto wa aliekuoa na ukizaa bila ya kuolewa hao ndio wako haahhaha
1 like












