Kasongo yeyeeee 😂 nanga😂😂😂😂
129,966 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

victor1 年前
YANGA ndio timu ya kwanza kufungwa tangu Trump aingie madarakani 😂

Silvanus Jr°1 年前
Ngoswe ndo huyu ss😁😁😁

Thedreamer1 年前
Omboi hadi mkatutumia mobetto aisee kijana huyu kaisha kabisa 😃

CHILLEH MR SHITCOIN1 年前
Umeshindwa Ukiwa Ndani Ukocha Utauwezaa Sasa😂🏃

Blessed Tillah (MBARIKIWA)1 年前
😂

drone boy1 年前
Oyaaa Mwaisa waambie wachomoe kama inawauma

animal1 年前
Yeye alivokua uwanjani anaruka ruka halafu anajifanya kuelekeza wenzie

CruzKidAyo_255🇹🇿1 年前
@MakoyePaul

Mr. Joky wa Jock.1 年前
Dah leo nimecheka sana!

Osward1 年前
Leo mbona hawafundishi wenzie kama anavyofanya kwenye mechi nyingine hahahahah
