Video yükleniyor...

Video Yüklenemedi

Ana Sayfaya Dön

107,940 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)

11 Yorum

Ully 78 profil fotoğrafı
Ully 781 yıl önce

This Generation bhana.. Kama vipi walimu wasihusike na Nidhamu ya watoto. Ukiwasikiliza maelezo yao ni watoro Shule,, Mwl aliwapa adhabu ya kusaini kila siku saa 1 asubuhi.. wanaleta tuvilio utadhani wamevunjwa mifupa. Hawa hata ukileta CAs zao hapa ni zero tarajiwa za fm 4.

zaibanitechnologycompany profil fotoğrafı
zaibanitechnologycompany1 yıl önce

Yaani huyo ndo angekuwa mwanangu ningemuongezea fimbo nyingine 4 Kwa kudeka DEKA kwake

Solar Heavy profil fotoğrafı
Solar Heavy1 yıl önce

- All I Knew

Nembo profil fotoğrafı
Nembo1 yıl önce

Watoto wa siku hizi bhana!! sasa hiyo mmeona big issue,yani siku hizi mtoto akiguswa tu wazazi wakali.Ndio maana upinde wengi mtaani. Wenzenu tulikuwa tunavaa mpaka kaptula mbili za jeans kuogopa fimbo,yani ni mwendo wa fimbo tu na watu walisavaivu na kuwa na heshima

Bao-Zang profil fotoğrafı
Bao-Zang1 yıl önce

😅😅. Social media inaua hiki kizazi. Yan huyo mtoto hapo ndio kachapwa. Sio shule sio home ulikua unapigika yan mpaka ukitakata kukaa unashika chini kwanza alaf unashuta taratibu😅

CowBOY profil fotoğrafı
CowBOY1 yıl önce

Huyu mwalimu apandishwe cheo

Hafidhi Marijani profil fotoğrafı
Hafidhi Marijani1 yıl önce

Mithali 23:13 Usimnyime mtoto adhabu, ukimwadhibu kwa fimbo, hatakufa.

DE BOSS MALINGA profil fotoğrafı
DE BOSS MALINGA1 yıl önce

Hii mbona adhabu ya kawaoda tu matako ninyi???? Manataka kufanya kama issue kuuuuuuuubwa kumbe ka kitu kadogo tu acheni ufala

A M O N profil fotoğrafı
A M O N1 yıl önce

Umfanyie mtoto wangu ukatili kama huu hakya nani nakufyeka

calleb cyprian profil fotoğrafı
calleb cyprian1 yıl önce

Sasa hapo wamepigwa au wameguswa tu. Watuulize sisi wa miaka ya 90. Mwalimu anakwambia kumbatia mti kama unavyokombatia mpenzi wako. Ukiachia anafuta. Walimu kipindi kile katika jeshi anakuja fundisha class.watoto wa sasahivi legevu sana. Hapo kuna kosa wasisikilizwe wao tu.

YUGA TRADERS(T) LIMITED profil fotoğrafı
YUGA TRADERS(T) LIMITED1 yıl önce

Ifike hatua walimu tuwe tunaonekana week ya mishahara tu

Benzer Videolar