Loading video...
Video Failed to Load
Kazi Imeanza, hiki ndicho wanachokiweza.
30,991 views โข 8 days ago โขvia X (Twitter)
29 Comments

Katika ulimwengu huu na nanotech na 5G unaunganishaunganisha viclip kutaka kuwafool watu timamu kweli? Mbona mmeishiwa hoja sana?

This time hadi muandike kiebrania, ndio tutawaacha

AI

Aliye edit kala hela kilaini sana kazi mbovu๐ฎ

Heche anashangaza sana, kwanini asiseme michango hii ielekwezwe kwenye account ya chama chake, why anataka michango yote kwenye account yake binafsi.

Tunajuwa anawanyoosha mpaka mnamuekea maneno mdomon

Mbona kama Editing hiii!!

Bado hamjaedit yaani mtapelekewa moto mpaka mtie akili

Sauti tu inaonesha kama vipande vimeungwa ungwa

mna kazi ngumu sana ya kuuaminisha umma kwa clips za kuungaunga..

Acheni kupotosha watu mmekata vipande vipande mkauunganisha ndizo habari mnaleta hapa

Mpe matako

@Getrude_mollel Na manyumbu yatajaa kwenye mfumo

Ai

@MK47TA ๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Tuachane na nambo ya heche tujadili ripoti za cag tufanyeje tuisaidie sarikali yetu tukufu ipate mapato zaidi. #Kaziutu

Acha upumbavu edit izi

๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐

Matako ya mama yako

Naona mmejaaa ma chawa kwa kazi mliyotumwa mkijaribu kutekeleza kwa weledi. Rudini waambieni uyo ni maji marefu

HII NI AI

Wizi wizi wizi.

Acheni kupotosha

AI usituletee ushamba wako hapa

Mbona ni AI hii mzee

Kazi mboovu sanaa hiii.......aliyewapa hii idea kapiga hela kilaini saaaa!! Ni mazwazwa tuu ndio watakao amini hii video...ila hii imetengenezwa 100% FAKE!!

Ni wapumbavu wenzako tu ndo watakuelewa hivyo. ๐ญ๐ญ๐ญ

Kufanya udukuzi ndio kitu mnachokiweza ๐คจ

๐ ๐ ๐ ๐๐
