Loading video...
Video Failed to Load
Kazi kweli kweli 😂😂😂
12,649 views • 7 months ago •via X (Twitter)
17 Comments

Uwa ni kapuuzi ila leo ameongea vyema.

Pamoja na yote leo ameongea vizuri🤝.

SIZITAKI MBICHI HIZI!!

Mada ni jina lake acha ajipigie magoti

Kuna kipindi Serikali ilikuja juu kuhusu matumizi ya neno "umama." Naona DC kasahau😅 tena wakati ule yeye alikua Ikulu.

Kuna hoja apo...asikilizwe

Huyu anataka tuwaongelee vibaya tu wanetu kina Magoti tunaoheshimiana nao.

@PeterElinas Ndugu yake @TitoMagoti 😂

Sema huyu msenge huwa ni Comedian

Kwanza jinsi alivyo yy tayari kapiga magoti

Afanye kazi aliyotumwa aachane na mapenzi

Sasa itakuwaje aisee.. 😂😂

..sema aka jamaa basi tu

Shiit

Mweny magoti yake ameongea tyr 😂😂

😂😂😂

Hivi mnaelewaga lile swali la “Will you marry me? Vzuri au mnaliulizaga tu for show, shenz Nitwits people tu hapo
