正在加载视频...

视频加载失败

Keep streaming “UBUYU” on all DSPs #ubuyu

11,392 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

15 条评论

gusa achia twende kwao ubaya ubwela 的头像
gusa achia twende kwao ubaya ubwela1 年前

Mimi kama shabiki Yako I know haujali...ila Mimi nimesikitika sana .I need the video...Fanya mpango irudi. communicate please I love you lakini why this bro ..na viewers wetu pia

Blylonor 的头像
Blylonor1 年前

Maintain clarity in every shot with HD quality. View more: 👇 Spotted it? Comments have the same 👇

AyoKizzy 的头像
AyoKizzy1 年前

Hiii ni ngoma au takataka 🚽

Rouhan 的头像
Rouhan1 年前

Ubuyu

jaja ✨🇹🇿 的头像
jaja ✨🇹🇿1 年前

🔥🔥🔥🔥

Kadehe JR 的头像
Kadehe JR1 年前

we miso misondoo

sarange 🎶🤎🌴 的头像
sarange 🎶🤎🌴1 年前

Hata sajent Hana menej ment mbovu kama yako boss wimbo umetoka Jana Leo audio ndoimesha sambazwa kwenye all platform 🚮

Lenzo mnyama 的头像
Lenzo mnyama1 年前

Amna wimbo apo ata peten kakuacha mbali sana itoshe kusema au basi😂

Nyambiza jr 的头像
Nyambiza jr1 年前

Kama nimemuona queen Darlene hapo 🧐

Jstream 的头像
Jstream1 年前

Hmn wimbo hapi

Charlz 的头像
Charlz1 年前

Hello @OfficialAliKiba please hit my DM, I have business with you

SANUKAnaCHAPO 的头像
SANUKAnaCHAPO1 年前

Umegundua Mbosso baada ya kutoa EP ana play humble card ikiwemo kuvaa simple zaidi kwenye media tour hata jukwaani? Kwasasa Mbosso yupo nyuma ya jamaa ana mzigo kinoma ambapo alikuwa na uwezo wa kuonesha maisha ya gharama ila amechagua karata hii ambayo ni sahihi zaidi.

Thom Mnkondya 的头像
Thom Mnkondya1 年前

Life has only two options, to uninstall or to update. Natamani kuona chidbenz akianza historia mpya. Namuombea pia🙏🏿.

Swahili Times 的头像
Swahili Times1 年前

"Tumekwisha waandikia wenzetu wa Simba SC, kwamba hakuna haja ya kusumbuana na timu nyingine kutoka mbali. Kwenye ile sherehe yao na sherehe yetu tupige home and away, sisi twende kwenye sherehe yao na wao waje kwenye sherehe yetu tupimane vizuri kwamba msimu ujao tena? Au wamebadilika?" - Ally Kamwe, Afisa Habari Yanga SC

Latto 𝕏 的头像
Latto 𝕏1 年前

Sijajua ni Utamaduni wetu? But most of the Countries, Summer ndio kipindi ambacho ni Muda wa Mapumziko, Ambapo watu husafiri na kwenda sehemu mbali mbali kwa ajili ya ku-enjoy na Ku-refresh mind, mostly Gen Z, kutokana na Vyuo muda huo vinakuwa vimefungwa. Sasa Kwa Tanzania, Vintage Space wanafanyaga Tamasha karibia kila mwaka, ambapo mostly vijana hukutana wakiwa in Summer Fashion Clothes na ku-enjoy pamoja. Mwaka huu wamefanya Tamasha pale Warehouse Masaki, ilikuwa tarehe 5, July. Angalia umati ulivyo itika, pata na Pictures za Gen Z in Fashion. Video kwa Comments👇

相关视频