Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kenya wanapumulia kwa OXYGEN za mitungi😦

36,008 Aufrufe • vor 2 Jahren •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

Nimesikiliza hapa, NIKAOGOPA hata hilo deni letu la 35% Oyaaa 😦😦😦 Mama TUSIKOPE TENA, please!! Tulipe kwanza hayo MADENI yashuke mpaka 15% Video kwa Comments👇🏾

Profilbild von Latto 𝕏
Latto 𝕏vor 2 Jahren

Watu wanajiuliza kwa nini nchi za Africa haziendelei? Sababu ni hii👇🏾

Profilbild von Mbishi ⚖
Mbishi ⚖vor 2 Jahren

Ok let’s get this straight! Nakubaliana na izo facts : swali la kujiuluza kwa nini sarafu ya Kenya iko na thamani zaidi ya Tanzania: na deni lao ni 70.10% na Tanzania ni 35% tu. Jibu: Pamoja na maandamano yanayoendelea nchini Kenya, bado Inaonekana ni nchi iliyotulia kisiasa kwa kuwapa wananchi wake katiba inatoendana na wakati waliokuwa nao. CCM hawataki ilo wako radhi sarafu isiwe na thamani kwa ajili ya siasa. Nafikiri watakao soma hii reply wataona umuhimu wa kuwa na katiba mpya Tanzania #KatibaMpya .

Profilbild von 𝙼𝚏𝚊𝚠𝚒𝚍𝚑𝚒 פְּנוּאֵל 🩺
𝙼𝚏𝚊𝚠𝚒𝚍𝚑𝚒 פְּנוּאֵל 🩺vor 2 Jahren

Huyu ni mbuni hajielewi Hamna mtu anachukia madeni, tunachukia wizi wa serikali ya CCM Yanayokopwa yanapelekwa wapi? Mbona wezi wa ripoti za CAG hawashughulikiwi? Wakope hata 100% lakini ionekane imetumikaje, na wezi washughulikiwe

Profilbild von Dodoma Digest
Dodoma Digestvor 2 Jahren

Ripoti ya @IMFNews iliyotoka April 2024, imeeleza Deni la Tanzania ukigawanya na mapato yetu ni asilimia 46.1% na sio 35% na Kenya 73.0%. Kwa Taarifa zaidi ili kila mmoja apate taarifa kwa usahihi, gusa link hii hapo chini 👇Uk. 18 Follow: @DodomaDigest kwa Taarifa za Uhakika zaidi.

Profilbild von salmin 🇹🇿
salmin 🇹🇿vor 2 Jahren

Yani tunashindana mpaka kufilisika, kweli kufilisika Nako ni sehemu ya kujipongeza kwa kumtazama jirani alivyofilisika?? Mawazo yangu ya kipuuzi yaachwe kipuuzi tafadhali.

Profilbild von ngosi@23
ngosi@23vor 2 Jahren

Tumtag @SuluhuSamia aone hii

Profilbild von lijendi putin
lijendi putinvor 2 Jahren

Masudi anamuangalia jamaa anasema uyu ni msenge sana😂😂😂

Profilbild von Hancy Machemba
Hancy Machembavor 2 Jahren

Hata sisi tutafika huko kama hali tunayokwenda ni hii

Profilbild von Maleek 🇹🇿
Maleek 🇹🇿vor 2 Jahren

Letu likifika huko wanachukua MT. Kilimanjaro

Profilbild von Frank
Frankvor 2 Jahren

Uwongoooooooooooooo

Ähnliche Videos

Wabunge wa CCM wanalazimisha kutengeneza mgogoro wa kidiplomasia na Kenya kwa kutumia Bunge bila sababu za msingi. Akili zao siyo timamu. Kutumia Bunge kushambulia nchi jirani ambayo mnaishi katika Jumuiya moja ni jambo lisilopendeza. Anajibiwa nani? Raia wa Kenya? Kwa sababu gani? Kesho, wabunge wa Bunge la Kenya wakifanya kama ninyi? Mshindi na muathirika atakuwa nani? Hakuna mshindi, lakini muathirika ni raia wa kawaida. Waathirika ni Wananchi wa kawaida wanaofanya biashara zao kati ya nchi hizo. Wapo raia wa kawaida, wamewekeza fedha nyingi katika nchi hizi mbili. Wabunge wa CCM wanazungumza kama wamekatwa vichwa hivi, hawajui lolote kuhusu uwekezaji wa mitaji mikubwa na hawajahi kufanya hizo biashara. Wabunge wa CCM hawajui athari za maneno yao. Hawahesabu hatua za kauli zao na hawapimi kauli zao. Maneno yanaibua hisia hasi baina ya wananchi. Kutumia Bunge kusema raia wa Kenya akikamatwa Tanzania apigwe na arudishwe kwai akipumua kwa msaada wa mashine ni kauli za mtu asiyefikiria vizuri. Vipi raia wa Tanzania wanaoishi Kenya. Kwamba hawapo Watanzania Kenya? Wakikamatwa huko Kenya wafanywe nini? Hizi ni kauli za kipumbavu kabisa. Mwaka 2022 watalii kutoka USA kuingia Tanzania walikuwa 100,600, France (100,371), Germany (67,718), UK (60,116) Poland (46,431). Kenya watalii 166,324 Tanzania’s tourism receipts ya USD 2,527.8 million kwa mwaka 2022 ni pamoja na watalii 166,324 kutoka Kenya. Leo hatuwataki tena? Vilaza hawafikiri vizuri. Sekta ya utalii Tanzania inachukua takeibani 24.0% ya mauzo yake ya nje na 17.2% ya Pato la Taifa. Ni sekta inayokua kwa kasi na inatoa fursa nyingi za uwekezaji. 2023, Tanzania iliuza bidhaa za nje kiasi cha $334M kwenda Kenya. Wakati Kenya iliuza bidhaa za nje kiasi cha $451M kwa Tanzania. Kuna biashara nzuri hapa. Bidhaa kuu ambazo Tanzania iliuza nchini Kenya ni Corn ($51.8M), Sawn Wood ($29.4M), na Coal Briquettes ($28.9M). Tulifanya biashara nzuri na majirani. Bidhaa kuu ambazo Kenya iliuza Tanzania ni soap ($48.6M), Packaged Medicaments ($40.5M), Coated Flat-Rolled Iron ($23.3M). Hizi ni bidhaa tuliagiza. Katika kipindi cha miaka 5, mauzo ya nje kutoka Tanzania kwenda Kenya yaliongezeka kwa 5.94% kwa mwaka, kutoka $250M 2018 hadi $334M 2023. Katika kipindi cha miaka 5, mauzo ya nje kutoka Kenya kwenda Tanzania yaliongezeka kwa 9.18% kwa mwaka, kutoka $291M mwaka 2018 hadi $451M 2023. Online political banters za raia mnazipeleka bungeni na kuzibeba kama agenda ya nchi yetu? Nafikiri bado hamjitambui vizuri. Au mmepagawa na uchawa. CCM mmeharibu sana nchi yetu. Msiharibu na uhusiano uliopo na majirani zetu kwa tamaa za kishamba za madaraka. TUNAHITAJIANA na tunaishi pamoja. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila

Martin Maranja Masese

36,656 Aufrufe • vor 1 Jahr