正在加载视频...

视频加载失败

Kenyan comedians. Vs. Tanzanian comedians

134,878 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

NYALALI 的头像
NYALALI1 年前

Ukiacha Maradhi, Ujinga na Umasikini, Uchawa ni tatizo jingine kubwa sana Tz, na unazidi kuenea kwa kasi kubwa, sio kwa wananchi wa kawaida tu, leo hii Tz huwezi pata wasanii hata 5 tu ambao ni upinzani, tupo kwenye taifa la praise&worship kwa mama, kila kitu mama.

Building 7 Boutique 的头像
Building 7 Boutique1 年前

🇺🇸 Trump: Better Coverage than 5G...Can you hear us now? 🇺🇸 Get ready to celebrate the 2025 Presidential Inauguration!

Shemasi Jimmy 的头像
Shemasi Jimmy1 年前

Elimu, Elimu, Elimu. Ukitaka kuua jamii yeyote ile. Haribu elimu. Utapata wanachi mazuzu, viongozi wa kawaida. Viongozi wa dini wenye kujiprndekeza nk

Prof Et Al 的头像
Prof Et Al1 年前

Hawa baada ya huu uchawa walioonyesha wamepoteza washabiki wengi sana

PaYRoLL🪙 的头像
PaYRoLL🪙1 年前

Hizo comedy za akina coy labda zinawachekesha akina Wasira na Mzee Makamba😅

Blank 的头像
Blank1 年前

Kenyan comedians are well educated, not like Tz comedians. Sisi tupo na ududu mwingi kichwani na ndiyo taswira wanatoa ya watanzania waliowengi mtaani. Angalia contents zao, mitazamo pia unapata jibu tuna jamii ya kipuuzi ambayo tuna kazi sana kubadilisha

Hashmïus ♊ 的头像
Hashmïus ♊1 年前

Hawa wanajielewa....

Hamisi Jamuhuri 的头像
Hamisi Jamuhuri1 年前

Wenye Akili Vs wajinga

Bonavista 的头像
Bonavista1 年前

Shikamoo Elimu

Uncle G 的头像
Uncle G1 年前

@LeonardMbilinyi Wasanii wa Tanzania ni wasenge wasenge

I'M LIVING BLESSED 的头像
I'M LIVING BLESSED1 年前

Njaa mbaya kaka…

相关视频