Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kenyans can be so nosy 😁
548,524 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Abu 𝕩3 yıl önce
😂😂😂kuna mwenye ashasema mungu wangu

𝗠𝘄𝗮𝗹𝗶𝗺𝘂 𝗞𝗲𝗹𝘃𝗶𝗻3 yıl önce
😂😂😂 tabia za wakenya. Karibu kenya

UncleGin®️3 yıl önce
🤣🤣🤣🤣 surely. Ujitume hivi na content creation alafu mtu atokee na huko anataka kukutax. Huwa sielewi kabsaa

Egline Samoei3 yıl önce
All these years watu hawajajua sura ya Nicki Bigfish😂

KaitaMasheti🇰🇪3 yıl önce
Apa ata mimi ningepatikana. It's not being nosy by situational awareness. Being aware of what is happening in your sorrounding.

Philosopher3 yıl önce
City Center ukiangalia juu na unyamaze utapata jamaa wamecreate story: waah umeona hiyo rocket? Ilikuwa green.....

✞ ➶☆𝐋𝐲𝐧𝐮𝐬 𝐊𝐄▼╋ •❥3 yıl önce
Hatasioni kitu mimi wee unaona😂😂😂

Uthman Abu Faisal🇰🇪🇵🇸🇸🇩🇨🇩🤍☝3 yıl önce
😂😂😂Huwa Siamki mimi..Nice one Nicky!👊💯💯

Dasani🇰🇪🇨🇲3 yıl önce
Huyo cameraa man alicapture the real deal at the last stages😂😂😂👍

Geoffrey Njenga3 yıl önce
Sasa nani hawa hawakujui 😂
