Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kesho Ni Nzuri sana. #MwengeWaUhuru2025
32,238 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

We mzee bana.. mtoto wako ni miongoni mwao? Kesho ipi?

New single just landed! take the journey

Hao ni watoto wa makabwela ndio mnawafanyia maigizo,watoto wenu wapo International School

The real actors in this world are the children, they can even act to predict their future. Waigizaji wakubwa duniani ni watoto wanaweza hata kuigiza utabiri wa kesho yao. Kazi kubwa ni sisi viongozi, walezi na wazazi kuwawezesha kufikia ndoto zao. 👯🧑🤝🧑

Yani mimi ndio nimkute mtoto wangu anafanya huu ujinga tunagombana hadharani nakuzingua mbaya uite polisi waniue tu

Kesho ni nzuri sana , how?

Maigizo ya kizamani sana kaka.

Ndio wanapenda hivi kuendelea kuona watoto katika umaskini ,Ukiwatizama wamechoka nyumba za kukandika maisha duni,Wako ni Miongoni mwao ???

Kwanini mtoto wako asifanye ivyo

Hakika
