Loading video...
Video Failed to Load
Kesho tunashuka dimbani dhidi TMA
17,955 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁1 year ago
UBAYA UBWELA wote tunawahamishia TMA

chunda bad1 year ago
TMA hatuwezi kuwambikia mashabiki njoeni tu

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 year ago
Mbona Yanga tumeiogopa na kususa?😁

Solar Heavy1 year ago
hiphop meets edm

Benedict Mapu1 year ago
Yani we maneno kibao afu unakimbiza timu na mkifungwa huwa unakimbia waandishi lol

De alien1 year ago
Semaji mashine hawezi kuongeaa ludmgha mbaya ilaa tu maneno yake ni mkukii Tunao mkubalii gonga like hapa❤️

Kennedy Mwakanusya1 year ago
Mchoro fc

MR_TZ1 year ago
hao ndio lever zenu hamtawakimbia

EASTZONE1 year ago
Sawa sawa😂😂

Mon 221 year ago
Kimbieni tena

kibumujr1 year ago
Kazi yako ngumu sana semaji,inakulazimu kusema Uongo pamoja umefunga🙌eti Camara&Chemalone ni wazima,hapohapo wamerudi kuendelea na matibabu 🤣
