Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
KIBATALA Kaongea Kwa Uchungu Sana
60,939 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

Kumbe inatakiwa kuongea kiingereza sababu hawaelewi?

Sasa POLISI Anayo Elimu Gani Mzee?😂 Mapolisi Ni DEBE Tupu

take the journey

Dahaa kuna mambo yanafanyika nchini hapa kwa wananchi wenzetu ya kinyama sana kiufupi inaskitisha sana.

Aisee ukiona Mtu mzima anatoa chozi mbele za watu wahenga waliimba kuna jambo zito

Iko siku Tanzania itakosa watu wa kuwapigania watanzania halafu watanzania wataanza kujipigania wenyewe

So painful, sio muhumini wa siasa lakini inumiza sana, zama za zamani Mungu alikuwa anasema kwa njia nyingi sana juu ya viongozi wenye mioyo migumu, alileta ukame ,magonjwa ya ajabu yasiyotibika, MUNGU ana njia nyingi sanaa za kutetea wale waliosimama katika kweli

Nchi yetu inanajisiwa na tuna jeshi liko kimya? Enyi wanajeshi, jipigeni vifua, muache usenge.

Mlivyoongea kingereza wakazan mnataka kupindua gereza

😂😂😂😂😂

napata kibu kwann Mpango amegoma kuendelea ashaona huu ushenzi
Ähnliche Videos
Sensitive content
Jamaa anaongea kwa Uchungu sana nikutajie Force namba ww kama nani? Ntakufurahisha..sema hii ndo uanaume..🙌
Joh cabinet
52,697 Aufrufe • vor 1 Jahr
