Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kibendera kasema Offside, Arajiga kawaita kati 🤣
97,391 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

SIO OFFSIDE! WALIANZA KUKIMBIA MABEKI KUELEKEA GOLINI, WAKAJA WAFUNGAJI. ARAJIGA WAS DEFINITELY RIGHT! ACHENI sarcasm za kisenge

Ipi ni sarcasm hapa

where space meets sound

Hapa wampe hongera yake Aragija, amepiga kazi nzuri sana 👏👏

Sana

Ukweli ni kwamba ni kweli sio offside labda kama umemcheka kibendera

ni ujinga na nikikundi cha wajinga ila among of the best referees kwa sasa ni arajiga

Clear goal jamaa katoka nyuma kabisa nazani msaidiz wake aliona aliekuwa mbele ila hakuona mpigaji wa kichwa alofunga goli

Uyo mfungaji kapiga mpira rebound ka malizia mwenyewe so no offside, na kwenye foul no ofside

Hakuna offside kuna huyo beki karuka hewa, wakati inapigwa alikuwa mbele ya adui. Hapa no hongera kwa @ahmedarajiga
Benzer Videolar
TEBAKYATUBIKIRA KATI BAZIIKA MU'NKUKUTU EEEH 🤣🤣🤣🤣🤣
Fred Kajjubi Lumbuye
94,698 görüntüleme • 5 ay önce
Sensitive content
Nani katisha kati ya hawa wote 🤣🤣🤣
アボット Kazimoto
17,807 görüntüleme • 2 yıl önce
