Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kila munu avena kwao!!!….💪🏽💪🏽

51,028 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Ndekule C.E.O
Ndekule C.E.Ovor 1 Jahr

SEMA MH. WE NI MUONGO SANAAA, YAAANI HAKUNA KIONGOZI ALIYEWAI KUWA MUONGO KAMA WEWEEEE 😂😂😂😂😂

Profilbild von Hola Mija Chips
Hola Mija Chipsvor 1 Jahr

NEW CHIP IN TOWN! NO SEED OILS! CORN - TALLOW - SALT

Profilbild von Samalen Tips🤴
Samalen Tips🤴vor 1 Jahr

Mzee nikikuona hadi leo hauna gari ya maana kwenye parking yako na umekaa kwenye serikali miaka mingi kweli nakuonea huruma nadhani ulijisahau kama wenzio walivyojaza magari ya maana kwenye parking wakiwa viongozi shida hukutengeneza mapema 😅

Profilbild von Aple
Aplevor 1 Jahr

Nikutahadharishe tu, mwaka huu hutopitishwa kugombea ubunge, sasa sijui hiyo Rangi kwenye ford kama inasababu ya kuendelea kuwa kijani.

Profilbild von 27 January 2025
27 January 2025vor 1 Jahr

Mtoto wa kiume kuchambua bamia 👇👇👇👇

Profilbild von Mr. laropa
Mr. laropavor 1 Jahr

Mwana are you wenu....??? Hello vetu Shikamoo Marhaabaaah....×3 Lunjeru...😂🤣🤣 Tapeli.....

Profilbild von identical Twins❤️
identical Twins❤️vor 1 Jahr

Hapo kwenye bamia Sasa tuko pamoja

Profilbild von Truman Kakuru
Truman Kakuruvor 1 Jahr

Samahani mheshimiwa una kijana/binti mwenye umri wa miaka angalau 25?

Profilbild von Ndabazi Kasebo
Ndabazi Kasebovor 1 Jahr

True, but mjisikie aibu pia na umasikini uliopo kwenu. Mfanye maendeleo muache maneno, Lindi ni miongoni mwa mikoa masikini sana, umasikini wake unaonekana hata kwa macho ukifika huko

Profilbild von Shedrack Richard
Shedrack Richardvor 1 Jahr

Siku Ile unatekwa na bashite na kutaka kukupoteza sijui Kitenge alitokea wapi kukuokoa ww kitambi mbinyoo km utapiamlo

Profilbild von Rashidi Zarafi
Rashidi Zarafivor 1 Jahr

Hapa ni mtama mh?

Ähnliche Videos