Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kimeumana 😂😂
1,042,280 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
34 Yorum

Bro said "namwambia twende tulale kwangu anakataa" 😭

..."twende tulale kwangu"😆

Brayo tunajua sauti yako. Ati "nimemwambia akuje tulale kwangu hataki".

😂😒 Aky vile amevaa crocs na mwenzake alikuja na heels... Hata Mimi naeza taka kuona huyo model.. N mayb Kevo alimshw hapendi Madame wa heels 😭😭😭 Huyo jirani naye.. Aty nimemshw alale kwangu na hataki😂😂😂😂

Kevo na the other woman kwa kitanda wakiona hiyo findeo

Hizo gunia alikuwa anamletea kevo gwashi na waaru.

"twende tukalale kwangu..."

Haha. Kama ni Obidan Dela definitely acting 😂😂

Ati Najaribu kumwambia twende tulale kwangu😂😂😂😂Oyaaaa.. Toa ufisi hapo

"Nataka aende alale kwangu" fisi ingine hapa 😆😆😆

Obidan ni kijana wetu wa Eastlands anatafuta gifts usiku, hizi ni acting jomba😂😂😂

“Nimemwambia twende tulale kwangu hataki”😂

1. I would never record someone going through this and share. 2. Kevo ni Kevo tu. Options ni mbili, madam azoee ama agive up. 3. For now, anaeza lala kwa neighbor 😂 ikifika midnight, she should mourn her loudest. (Even if nothing happens) Kevo ajijazie 🤣

hakuna kupoteza mdaa pal anamalizia na "twende tulale kwangu"😂😂

Tf you mean twende tukalale kwangu!??

Akam alale kwangu 😭😭😭

Ati mlale Wapi 😂😂

"twende tulale kwangu"

hizo heels ni zile mtu hutumia aki change bulbs ama kutoa vitu kwa top shelf

"mimi najaribu kumwambia twende tulale kwangu hataki"

Uliskia anaitwa kevo na unashangaa?? Also..hio invitation hapo mwisho would have me walk-crying nikienda kwa jirani.we shall meet kwa duka sisi wote tuki buy breakfast 😂😂😂

Haha my guy taking his chances I see

Since you’re here watch my music

Penye cameras ziko, high chances ni ati iko scripted

Ah imagine finding heels hapo nje na wewe ni wa rafaa na mayeboyebo...ata mimi naeza kaa hapo mpaka nimuone 😂😂😂😂

Meanwhile kevo

Wait!nimeskia morio akimwambia waende walale kwake. Tf😂

"mi najaribu kushow dem twende tulale kwangu" naisha mimi😂😂

Anafaa afungue walimane nangumi first then awadinye wote

‘…twende tukalal…..’ 😂

1. Who goes visiting their person in crocs? 2. Who leaves shoes out during the day, let alone, at night? 3. If she's talking and crying at the same time, she's not crying.

Huyu dem pia alijichomea. Unakuja kwa boy wako in crocks na Naija bag bana nani hatakuwacha?😂😂😂😂😂

Eti Mato anajaribu kumwambia alale wapi😂

So Brayo was trying to help Kevo.
