ๆญฃๅœจๅŠ ่ฝฝ่ง†้ข‘...

่ง†้ข‘ๅŠ ่ฝฝๅคฑ่ดฅ

Kimeumana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1,042,280 ๆฌก่ง‚็œ‹ โ€ข 3 ๅนดๅ‰ โ€ขvia X (Twitter)

34 ๆก่ฏ„่ฎบ

Mariella ็š„ๅคดๅƒ
Mariella3 ๅนดๅ‰

Bro said "namwambia twende tulale kwangu anakataa" ๐Ÿ˜ญ

The Th3rd ็š„ๅคดๅƒ
The Th3rd3 ๅนดๅ‰

..."twende tulale kwangu"๐Ÿ˜†

Francis Muli ็š„ๅคดๅƒ
Francis Muli3 ๅนดๅ‰

Brayo tunajua sauti yako. Ati "nimemwambia akuje tulale kwangu hataki".

Bella ๐Ÿ’™ ็š„ๅคดๅƒ
Bella ๐Ÿ’™3 ๅนดๅ‰

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜’ Aky vile amevaa crocs na mwenzake alikuja na heels... Hata Mimi naeza taka kuona huyo model.. N mayb Kevo alimshw hapendi Madame wa heels ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ Huyo jirani naye.. Aty nimemshw alale kwangu na hataki๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Thanos (25/26 ๐Ÿ†) ็š„ๅคดๅƒ
Thanos (25/26 ๐Ÿ†)3 ๅนดๅ‰

Kevo na the other woman kwa kitanda wakiona hiyo findeo

DOHC. ็š„ๅคดๅƒ
DOHC.3 ๅนดๅ‰

Hizo gunia alikuwa anamletea kevo gwashi na waaru.

Idris ๐Ÿ‘‘ ็š„ๅคดๅƒ
Idris ๐Ÿ‘‘3 ๅนดๅ‰

"twende tukalale kwangu..."

Koech ็š„ๅคดๅƒ
Koech3 ๅนดๅ‰

Haha. Kama ni Obidan Dela definitely acting ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Abu Obaida Sinwar Lumumba๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ”ป ็š„ๅคดๅƒ
Abu Obaida Sinwar Lumumba๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ธ๐Ÿ”ป3 ๅนดๅ‰

Ati Najaribu kumwambia twende tulale kwangu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Oyaaaa.. Toa ufisi hapo

Mfalme.Daud๐Ÿฆ ็š„ๅคดๅƒ
Mfalme.Daud๐Ÿฆ3 ๅนดๅ‰

"Nataka aende alale kwangu" fisi ingine hapa ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Thirsty Kipsoiwet ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ ็š„ๅคดๅƒ
Thirsty Kipsoiwet ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ3 ๅนดๅ‰

Obidan ni kijana wetu wa Eastlands anatafuta gifts usiku, hizi ni acting jomba๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Andeka ็š„ๅคดๅƒ
Andeka3 ๅนดๅ‰

โ€œNimemwambia twende tulale kwangu hatakiโ€๐Ÿ˜‚

FinesseShot ็š„ๅคดๅƒ
FinesseShot3 ๅนดๅ‰

1. I would never record someone going through this and share. 2. Kevo ni Kevo tu. Options ni mbili, madam azoee ama agive up. 3. For now, anaeza lala kwa neighbor ๐Ÿ˜‚ ikifika midnight, she should mourn her loudest. (Even if nothing happens) Kevo ajijazie ๐Ÿคฃ

Jrect โœง ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ ็š„ๅคดๅƒ
Jrect โœง ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ3 ๅนดๅ‰

hakuna kupoteza mdaa pal anamalizia na "twende tulale kwangu"๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

แด แดœ ษด แด‡ ษด แด‡ ็š„ๅคดๅƒ
แด แดœ ษด แด‡ ษด แด‡3 ๅนดๅ‰

Tf you mean twende tukalale kwangu!??

kingpin ็š„ๅคดๅƒ
kingpin3 ๅนดๅ‰

Akam alale kwangu ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Manuu Media โ„ข ็š„ๅคดๅƒ
Manuu Media โ„ข3 ๅนดๅ‰

Ati mlale Wapi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐™บ๐šŽ๐š—๐šข๐šŠ๐š—...๐™พ๐šก๐šข๐š๐šŽ๐š— ็š„ๅคดๅƒ
๐™บ๐šŽ๐š—๐šข๐šŠ๐š—...๐™พ๐šก๐šข๐š๐šŽ๐š—3 ๅนดๅ‰

"twende tulale kwangu"

Nyuka 1/4 ็š„ๅคดๅƒ
Nyuka 1/43 ๅนดๅ‰

hizo heels ni zile mtu hutumia aki change bulbs ama kutoa vitu kwa top shelf

Skinny P ็š„ๅคดๅƒ
Skinny P3 ๅนดๅ‰

"mimi najaribu kumwambia twende tulale kwangu hataki"

Name cannot be blank ็š„ๅคดๅƒ
Name cannot be blank3 ๅนดๅ‰

Uliskia anaitwa kevo na unashangaa?? Also..hio invitation hapo mwisho would have me walk-crying nikienda kwa jirani.we shall meet kwa duka sisi wote tuki buy breakfast ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Fudaโฐยฒโต ็š„ๅคดๅƒ
Fudaโฐยฒโต3 ๅนดๅ‰

Haha my guy taking his chances I see

Boniface ็š„ๅคดๅƒ
Boniface3 ๅนดๅ‰

Since youโ€™re here watch my music

Valar Dohaeris. ็š„ๅคดๅƒ
Valar Dohaeris.3 ๅนดๅ‰

Penye cameras ziko, high chances ni ati iko scripted

Owlette ๐Ÿฆ‰ ็š„ๅคดๅƒ
Owlette ๐Ÿฆ‰3 ๅนดๅ‰

Ah imagine finding heels hapo nje na wewe ni wa rafaa na mayeboyebo...ata mimi naeza kaa hapo mpaka nimuone ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Dz@ddy Energetic. ็š„ๅคดๅƒ
Dz@ddy Energetic.3 ๅนดๅ‰

Meanwhile kevo

Ras Fundi wa Tiles ๐Ÿ‘ท ็š„ๅคดๅƒ
Ras Fundi wa Tiles ๐Ÿ‘ท3 ๅนดๅ‰

Wait!nimeskia morio akimwambia waende walale kwake. Tf๐Ÿ˜‚

DEMAKUTU ็š„ๅคดๅƒ
DEMAKUTU3 ๅนดๅ‰

"mi najaribu kushow dem twende tulale kwangu" naisha mimi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Lion rock.( m'ribu) ็š„ๅคดๅƒ
Lion rock.( m'ribu)3 ๅนดๅ‰

Anafaa afungue walimane nangumi first then awadinye wote

Aboki ็š„ๅคดๅƒ
Aboki3 ๅนดๅ‰

โ€˜โ€ฆtwende tukalalโ€ฆ..โ€™ ๐Ÿ˜‚

Mc'Amby ็š„ๅคดๅƒ
Mc'Amby3 ๅนดๅ‰

1. Who goes visiting their person in crocs? 2. Who leaves shoes out during the day, let alone, at night? 3. If she's talking and crying at the same time, she's not crying.

Keziah ็š„ๅคดๅƒ
Keziah3 ๅนดๅ‰

Huyu dem pia alijichomea. Unakuja kwa boy wako in crocks na Naija bag bana nani hatakuwacha?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

KYD ๐Ÿ˜Ž ็š„ๅคดๅƒ
KYD ๐Ÿ˜Ž3 ๅนดๅ‰

Eti Mato anajaribu kumwambia alale wapi๐Ÿ˜‚

Ruto Must Go ็š„ๅคดๅƒ
Ruto Must Go3 ๅนดๅ‰

So Brayo was trying to help Kevo.

็›ธๅ…ณ่ง†้ข‘