Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Kimyaaaaaaaaa…. 𝐌𝐖𝐀𝐌𝐁𝐀 amewasili🔰💪🏽 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐁𝐀𝐁𝐀, 𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀𝐀🙌🏽 Clatous Chota Chama #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
102,906 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Iam Salum Ally2 лет назад
@ClatousCC Chama hana hata aibu kumamake

Daktari Wa Manesi 💉💊2 лет назад
@ClatousCC Kesi imeanza upyaaaaaaaaa😂

Eddo2 лет назад
@ClatousCC Mchezaji anatambulishwa kwanza Kwa picha za Infinix, Leo ndo kaenda studio 😂😂

SimbaScot2 лет назад
@ClatousCC Mke uliemtumia miaka 7 na kumuacha jirani anamuona mpya 😂

Richard Futbal2 лет назад
@ClatousCC Mbn kama Hana furaha 🤔 kusajiliwa kwenye timu la Mabingwa

Richard Futbal2 лет назад
@ClatousCC Ahh

NesiMkunga2 лет назад
@ClatousCC wanathiiiimbaa

Mbaade 🤠2 лет назад
@ClatousCC Munaanza kutuletea zile Drama za 5imba kmmke uyo Chama wenu wa nini? Yukwapi Azizi kii?

M E C K I E🇹🇿2 лет назад
@ClatousCC Haya mlisema hajavaa jezi ooh siyo kwelii ule usajili, haya njoeni hapa tena mseme kingine….😂

Rezam Si𝕏2 лет назад
@ClatousCC Makolo wakiona post za hivi wanaumia sana 😀😀😀
