正在加载视频...

视频加载失败

📍 Kingosela, Ruvuma 🗓️ 20.09.2024

14,608 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Nangali Jr. 的头像
Nangali Jr.1 年前

Ili kununua mbolea ya ruzuku inakulazimu uuze mahindi gunis Mbili, kilimo cha Mahindi kina Gharama kubwa sana afu soko lake lipo Chini. Nimeoata hasara sana mwakahu..🥲. Angalau kg 1 ingekuwa 1000.

kyamby Madebe 的头像
kyamby Madebe1 年前

Ujinga ujinga tu hv wewe unawafundisha wakulima kuuza mazao yao 63 yrs walikuwa wanamuuzia nani Kamalizane na Mpina kwanza

Mtanzania aswa🇹🇿 的头像
Mtanzania aswa🇹🇿1 年前

Mh pita kigonsera secondary school, utembelee shamba lao la mahindi wanafanya vizur sana na linaendeshwa na wanafunzi wenyewe

Hussein M Bashe 的头像
Hussein M Bashe1 年前

Asante sana nitajitahidi

dirty11 的头像
dirty111 年前

Mmefungua mipaka ila mmeweka utitiri wa ushuru na vikwazo vingi wanunuzi wa nje wameshindwa kununua mazao nchini huoni bado wakulima watazidi kua maskini?

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 的头像
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿1 年前

Walanguzi wamewaumiza wakulima wetu kwa miaka Mingi. Tuendelee kuwasaidia wakulima wetu “wadogo” kupitia sera na mikakati sahihi.👍

FIRST BORN WA KINYATURU 的头像
FIRST BORN WA KINYATURU1 年前

Sema mwanangu bashe unapenda kuminya mdomo kama mimi yaan😂😂🙌

Unlimited Mind 的头像
Unlimited Mind1 年前

Hivi kwa nini mnawapangia wakulima cha kufanya baada ya mavuno?

HAM 的头像
HAM1 年前

Kigonsera Mbinga, Ruvuma 👊 Shuleni tulikua tunalima si mchezo🙌

Babaa 3G 的头像
Babaa 3G1 年前

Duhh tunayo ndani yanatudodea tuu kupeleka huko kumejaa ukiritimba Wacha tuteseke

相关视频