Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

101,536 views • 1 year ago •via X (Twitter)

12 Comments

KILWA BOY's profile picture
KILWA BOY1 year ago

Azam alwalijua ili yanga wachawi 😂😂😂

Bracusz👣Cadabra 🇹🇿's profile picture
Bracusz👣Cadabra 🇹🇿1 year ago

😃

Solar Heavy's profile picture
Solar Heavy1 year ago

We're Flying out now

Gus's profile picture
Gus1 year ago

@mchele_alpha Kwa kweli hili tangazo like vyema Kwa Kila upande.. nikama kipindi Antonio* Nugazi akitangaza tangazo la Simba ilikuwa unyama sana.

Bracusz👣Cadabra 🇹🇿's profile picture
Bracusz👣Cadabra 🇹🇿1 year ago

@mchele_alpha Kabisa

Jefe.. ♐️'s profile picture
Jefe.. ♐️1 year ago

Hawa watu ni kama hii kitu walipanga wote ukute mashabiki tunachezewa tu hapaa....

FikraYenyeNuru's profile picture
FikraYenyeNuru1 year ago

Kipengele kwenye hizi timu mbili ni swala la kudumu

etropia icarly's profile picture
etropia icarly1 year ago

Hiz Tim apana😀😀

Bracusz👣Cadabra 🇹🇿's profile picture
Bracusz👣Cadabra 🇹🇿1 year ago

😂😂 JAYANTI

PAKASHUME's profile picture
PAKASHUME1 year ago

Wazee wa conspiracy theory

Kichaa bwax's profile picture
Kichaa bwax1 year ago

Nilichogundua n ss mashabiki tulio wengi wa yanga wavivu Wa kusoma na wabovu Wa fikra✍

Bracusz👣Cadabra 🇹🇿's profile picture
Bracusz👣Cadabra 🇹🇿1 year ago

Hapana ila mapenzi yamepitiliza

Related Videos

VIDEO: Chama cha ACT Wazalendo kimeibua mjadala mzito kuhusu uhalali wa baadhi ya vipengele katika Kanuni za Maadili ya Uchaguzi, kikitaka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kutoa ufafanuzi wa kina kuhusu kifungu kinachosema kuwa chama kitakachoshindwa kusaini kanuni hizo kitakosa sifa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba Mwaka huu. Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, akizungumza katika hafla ya utiaji sahihi wa kanuni hizo iliyofanyika leo Aprili 12, 2025 jijini Dodoma mbele ya viongozi wa Tume, Serikali na wadau mbalimbali, amesema kuwa kipengele hicho kinahitaji tafsiri ya kikatiba, kwani haki ya kushiriki uchaguzi ni haki ya msingi kwa chama chenye usajili wa kudumu. "Kwa maoni ya ACT Wazalendo, tunaona kwamba haki ya kushiriki uchaguzi ni haki ya kikatiba. Kwa hiyo, haitoshi kusema kama chama hakijasaini basi kinapoteza haki hiyo. Tunataka Tume itoe ufafanuzi wa kina," amesema Ado. Mbali na suala hilo, ACT Wazalendo pia imeitaka Tume kuweka bayana haki za mawakala wa vyama katika vituo vya kupigia kura, hususan kuhusu utambulisho wao na upatikanaji wa nakala za matokeo. Hoja nyingine iliyotolewa ni wajibu wa vyombo vya ulinzi na usalama katika kuhakikisha uchaguzi unasimamiwa kwa haki, pamoja na kuzingatia maadili na weledi. Ado pia amependekeza marekebisho ya adhabu zinazoweza kutolewa na Kamati ya Maadili, hasa kusimamishwa kampeni, akisisitiza umuhimu wa kuwekwa kwa muda maalum wa adhabu ili kuepuka kunyimwa haki ya kampeni kwa muda usioeleweka. Baada ya hafla hiyo, Ado amezungumza na vyombo vya habari na kufichua kuwa chama chake kinafikiria kuchukua hatua za kisheria. “Tunaendelea kutafakari kwenda Mahakamani kudai haki dhidi ya kipengele kinachosema kuwa chama ambacho hakijasaini kanuni kinapoteza sifa ya kushiriki uchaguzi,” amesisitiza. Kwa upande wake, Mwenyekiti wa INEC, Jaji wa Rufaa Jacobs Mwambegele, amesema kuwa Tume itatoa ufafanuzi wa maandishi kuhusu maeneo yenye utata, na kuongeza kuwa chama chochote ambacho hakijaridhika kina haki ya kuwasilisha suala hilo Mahakamani.

Jambo TV

53,330 views • 1 year ago