Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Kitonga 22|08|2026
14,631 просмотров • 2 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Martial2 месяцев назад
Abinomo mi nilijua ni jina la dereva 😂😂😂

Alien 👽👽2 месяцев назад
Huo mzigo una tone zaidi ya 100! Sio mchezo. Ni transfomer ya 400Kv

Ankoli 👤2 месяцев назад
Mzigo Apewe Benzi

steven2 месяцев назад
Imepita ipogolo

Denis2 месяцев назад
Abinomo

Saumu Yanga2 месяцев назад
Kwa hio tunafanyaje sasa hapo 😁😁 abadilishwe dereva mwengine au gar ndio magumashi ?au tukaanzie bondeni kule kupanda na gia namba 1

Es.Mdee2 месяцев назад
Kule chirundu kuna mzungu pale am-invest karibia na gate la council anachuma heavy anakodisha .hasa ikitokea shida gari ikishindwa kupanda kwenye vilima vya chirundu kule yeye anawasha chuma zake

Dee🍁2 месяцев назад
Abinomo😂

kelvin cyprian kiwia2 месяцев назад
😃abinomo

Liquidity kensei⚡2 месяцев назад
Mizigo mizito kma hyo ilibd itumie reli ona ssa inapata shida kupanda

