Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kituko cha mwaka....

15,460 просмотров • 24 дней назад •via X (Twitter)

Комментарии: 21

Фото профиля Call me Toni
Call me Toni23 дней назад

Msijichoshe kumtukana jamaa, he's damaged. Anachopitia sio juu ya Lissu, saikolojia inasema ukiona mtu yuko obsessed na kuwa na chuki kuu dhidi ya mwingine basi ujue nafasi yake imejeruhiwa. He hates everything he's not about the other person. Subirini mwisho wake mtanielewa.

Фото профиля HjayHals
HjayHals23 дней назад

Hii chuki ni mwenyekiti wako kuukosa uenyekiti au una jambo jingine? Maumivu unayopitia huwezi kupona hata lissu akifa leo.

Фото профиля Geronimo
Geronimo23 дней назад

Kwenye hili namuunga mkono Yericho Mimi nashauri Mnyika na Heche watuonyeshe mfano wa kugoma kula wao binafsi

Фото профиля Ras,nchimbi
Ras,nchimbi23 дней назад

Kwamba kwenye kusubiria hiyo hukumu muloitengeneza tayari, haki zake za kibinadamu @humanrightstz zipuuzwe? Hiyo itakuwa siyo kumtendea haki. 👇🏿 FREE TUNDU LISU NOW! Muafaka pekee kwa Taifa ni #KATIBAMPYANISASA!, Mengine yote ni porojo✍️🏿!

Фото профиля Ng'omago
Ng'omago23 дней назад

Hizi tabia zsiyo za wanaume nitabia za kike Jamaa ana roho mbaya kama mama yake samuya

Фото профиля King
King23 дней назад

Tabia zako hazina tofauti na za kike bro

Фото профиля Hamis
Hamis24 дней назад

Ubwabwa huna jipya na mugabe wako

Фото профиля Nelson Ottaru
Nelson Ottaru23 дней назад

kwani rufaa hakuna!?

Фото профиля AZIMIO W MGONGOLWA
AZIMIO W MGONGOLWA23 дней назад

Rafudhi yako tu ni ya kishamba

Фото профиля αвιfαи αℓι
αвιfαи αℓι23 дней назад

BORA UNGEKAA KIMYA ULITUMWA KWANI UONGEEE

Фото профиля Uiso Barikij
Uiso Barikij23 дней назад

Kinywa kinatoa harufu ya kinyesi kaa kimya

Фото профиля Sam's.Big.Div
Sam's.Big.Div23 дней назад

Wewe uwe na hakika kabla yake ni wewe.

Фото профиля Dr.King
Dr.King23 дней назад

Kashapigwa mti wenye mvimvi na wasira, unatarajia kichwani kuna nini!

Фото профиля The don himself!
The don himself!23 дней назад

Nikikumbuka niliwahi nunua kitabu chako daah

Фото профиля Charles Abel
Charles Abel23 дней назад

Hata kusafisha meno imekushinda jasusi wa mavi

Фото профиля Chris ng'andu🇹🇿🇹🇿
Chris ng'andu🇹🇿🇹🇿23 дней назад

Kaka kwani chadema walishakukosea nn kikubwa

Фото профиля Kyoma
Kyoma23 дней назад

Msenge una njaa🤣🤣

Фото профиля Abel
Abel23 дней назад

Wewe ni cancer. 100%

Фото профиля Deogratius Shija
Deogratius Shija23 дней назад

@YerickoNyerereT umekuwa na Roho mbaya sana ndugu yangu

Фото профиля Ally ngwale
Ally ngwale23 дней назад

Kwani huyu ni nani mbona huwa hanongerea kwenye fensi haijapigwa hata parasita ,,,hahahahaha

Фото профиля Make it Happen
Make it Happen23 дней назад

Mimi nishaanza kugoma Kula KUANZIA Jana ..🤣

Похожие видео

HABARI: Watu 9 wakazi wa Makambako - Njombe wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Njombe wakikabiliwa tuhuma za kosa la uhaini na kuzuia Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, makosa ambayo waliyalifanya kwa kipindi cha kati ya mwezi March mpaka Octoba 30 mwaka 2025. Akisoma mashitaka hayo, Wakili wa serikali Magdalena Whella amesema watuhumiwa hao ni Erasto Nzenge (31), Japhet Kimbe (27), Saimon Mlelwa (23), Masondole Manyama (33), Stanley Mbembati (39), Anord Tunduru (30), Fadhil Nguvila (25), Patrick Mpagike (37) na Prosper Mbwilo (26) Washitakiwa hao wamepandishwa kizimbani leo Novemba 7 na kusomewa mashitaka mawili ya kesi namba 26483/2025 mbele ya hakimu mfawidhi wa Mahakama ya wilaya Njombe Mheshimiwa Matrida Kayombo. Akisoma mashitaka hayo Mwanasheria wa Serikali Magdalena Whella amesema kosa la kwanza ni kuwa kwa nyakati tofauti ya mwezi Machi mpaka tarehe 30 Oktoba mwaka 2025 katika maeneo tofauti ndani ya mkoa wa Njombe walikula njama na kutenda kosa la Uhaini chini ya kifungu cha sheria namba 384 cha mwenendo wa makosa ya jinai marejeo ya kifungu cha 16 cha mwaka 2023. Katika kosa la Pili, Wakili wa Serikali amesema washitakiwa hao walitenda kosa la uhaini chini ya kifungu cha 39 cha pili cha sheria ya kanuni ya adhabu, sura ya 16 marejeo ya mwaka 2023, ambapo maelezo ya kosa ni kuwa washitakiwa mnamo tarehe 30 ya mwezi wa kumi mwaka 2025 katika mji wa Makambako walikuwa na nia ya kuzuia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 na kuitishia serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kujiingiza kufanya fujo na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali za serikali zinazotumika kutolea huduma muhimu. Baada ya kusomewa mashitaka hayo, Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Njombe, Matrida Kayombo amewataka washitakiwa hao kutojibu chochote hadi hapo shauri hilo likapokwenda kusikilizwa kwenye Mahakama Kuu Aidha, upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika kwa makosa hayo mawili na kwamba makosa yote hayana dhamana na washitakiwa wamerudishwa mahabusu hadi tarehe 12 Mwezi wa Kumi na Moja mwaka 2025 kesi itakapo tajwa tena.

Jambo TV

25,296 просмотров • 1 год назад