正在加载视频...
视频加载失败
Kituko cha mwaka....
15,460 次观看 • 24 天前 •via X (Twitter)
21 条评论

Msijichoshe kumtukana jamaa, he's damaged. Anachopitia sio juu ya Lissu, saikolojia inasema ukiona mtu yuko obsessed na kuwa na chuki kuu dhidi ya mwingine basi ujue nafasi yake imejeruhiwa. He hates everything he's not about the other person. Subirini mwisho wake mtanielewa.

Hii chuki ni mwenyekiti wako kuukosa uenyekiti au una jambo jingine? Maumivu unayopitia huwezi kupona hata lissu akifa leo.

Kwenye hili namuunga mkono Yericho Mimi nashauri Mnyika na Heche watuonyeshe mfano wa kugoma kula wao binafsi

Kwamba kwenye kusubiria hiyo hukumu muloitengeneza tayari, haki zake za kibinadamu @humanrightstz zipuuzwe? Hiyo itakuwa siyo kumtendea haki. 👇🏿 FREE TUNDU LISU NOW! Muafaka pekee kwa Taifa ni #KATIBAMPYANISASA!, Mengine yote ni porojo✍️🏿!

Hizi tabia zsiyo za wanaume nitabia za kike Jamaa ana roho mbaya kama mama yake samuya

Tabia zako hazina tofauti na za kike bro

Ubwabwa huna jipya na mugabe wako

kwani rufaa hakuna!?

Rafudhi yako tu ni ya kishamba

BORA UNGEKAA KIMYA ULITUMWA KWANI UONGEEE

Kinywa kinatoa harufu ya kinyesi kaa kimya

Wewe uwe na hakika kabla yake ni wewe.

Kashapigwa mti wenye mvimvi na wasira, unatarajia kichwani kuna nini!

Nikikumbuka niliwahi nunua kitabu chako daah

Hata kusafisha meno imekushinda jasusi wa mavi

Kaka kwani chadema walishakukosea nn kikubwa

Msenge una njaa🤣🤣

Wewe ni cancer. 100%

@YerickoNyerereT umekuwa na Roho mbaya sana ndugu yangu

Kwani huyu ni nani mbona huwa hanongerea kwenye fensi haijapigwa hata parasita ,,,hahahahaha

Mimi nishaanza kugoma Kula KUANZIA Jana ..🤣
相关视频

Sensitive content
Mimba Ya Afande Polisi mjini Nyeri, wamedhitisha kuwa wanamsaka afisa mwenzao aliyekuwa akihudumu kituo cha Mweiga, kwa tuhuma za kumnajisi na kumpachika mimba mwanafunzi wa gredi ya nane. #NTVWikendi Fridah Mwaka
NTV Kenya
40,947 次观看 • 4 个月前


