Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kiwanda cha Korosho Kwale

133,423 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von upcoming_niccur💯
upcoming_niccur💯vor 1 Jahr

Is like that coastal province has many projects that has fallen down

Profilbild von PMK
PMKvor 1 Jahr

Oh! Uhuru was better...crap! We are a joke as a country!! poverty is well planned seeing this. Those people in coast deserve all that! Wacha kura zao ziwasaidie sasa. 2027 we vote vibaya tena!!!

Profilbild von Goal Joseph
Goal Josephvor 1 Jahr

Will you join the truth tellers in the fight for freedom and accountability, or will you cower in fear and submit to the demands of the Government? The choice is yours. But whatever you do, do not underestimate the consequences of your choices. Thanks @MoraraKebasoSnr good job!

Profilbild von Daniel Musembi
Daniel Musembivor 1 Jahr

Politicians use these stalled projects to steal public funds, every time you hear a budget has been set to revive it, just to end being looted

Profilbild von Maxi 🧢 CLONE
Maxi 🧢 CLONEvor 1 Jahr

Nmekua hii mtaa nashangaa kwani Huyo Mpig anadhani tuko 2021 ama?? New fence lakini tarehe n yaliyopita #ZAAR

Profilbild von Patti
Pattivor 1 Jahr

Inject 💉 inject mercilessly

Profilbild von Yusuf Ramadhan
Yusuf Ramadhanvor 1 Jahr

I've just 1923hrs seen your vehicle in Diani bro....I swear you overworking ....people don't appreciate you enough ..I wish they'd see your sacrifices to stay away from your family for our sake they won't be slandering you the way they doing rn...God bless you Morara

Profilbild von GENZ GOLIATH
GENZ GOLIATHvor 1 Jahr

This is impunity and pure corruption

Profilbild von Liston.Hc
Liston.Hcvor 1 Jahr

Ukimaliza enda kilifi county,enda paka kaloleni,shika Barbara ya kwenda kilifi town,branch hapo chanagande,enda na hio rough road paka karibu tsanzuni Kuna hospital hapo haijamilzwa 10 yrs now ata yaanguka

Profilbild von Kipngeno🇰🇪
Kipngeno🇰🇪vor 1 Jahr

Coast nayo Kila kitu ni wizi tu ..they a slow in everything

Ähnliche Videos

SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI? Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi. Eneo la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa linatumika kuwapokea na kunenepeshea ng’ombe. Walipoletwa kutoka mikoani kwa treni waliteremshwa Stesheni Pugu, baada ya mwezi wanaswagwa kupelekwa Kawe kuchinjwa na kuchakatwa. Kutoka Mloganzila hadi kiwandani wakati wa kuswagwa, waingereza waliita COWS WAY (njia ya ng’ombe). Waswahili wao wakaamua kuita “KAWE” Tanganyika Packers (TPL) kilikuwa kiwanda kikubwa, kikisindika nyama za kusaga kwenye makopo na kusafirisha nje mpaka kwa malkia wa Uingereza, Kilikuwa kiwanda tanzu cha shirika la LEMCO (Liebig’s Extract of Meat Corporation) linalofadhiliwa na Uingereza, lilianzia miaka ya 1860 Uruguay. Liebig ni heshima ya baba wa (Organic Chemistry), Justus von Liebig. Jengo la machinjio la LEMCO linapatikana katika Urithi wa Dunia wa UNESCO. Sehemu kubwa ya nyama kutoka Tanganyika Packers iliuzwa Ulaya hususani katika nchi ya Uingereza. Watanganyika walipata ajira katika kiwanda. Kiwanda cha Tanganyika Packers kilijengwa na wakoloni kutoka Uingereza 1945 na kilitoa zaidi ya ajira 2,500 ambapo 1,200 zilikuwa ni ajira za kudumu. Walifanya kazi kwa shift, walichukuliwa kwa mabasi hadi kazini. 1975 serikali ilikitaifisha kutoka kwa waingereza kufuatia sera za ujamaa. Kiwanda kilizalisha nyama za mabuchani, mafuta ya kutengeneza sabuni, damu ya ng’ombe ilikaushwa na mifupa ilisagwa na kuwa chakula cha kuku. Pembe na kwato za ng’ombe zilichemshwa kwenye boiler zikatoa gundi, kiwanda pia kilisindika nyama na maharage kama ox-tail beans, ngozi etc. Katika vita ya Kagera 1978-1979, kiwanda kilitumika kuwalisha wapiganaji vitani. Chakula cha kusindika kilitoka kiwandani kwenda uwanja wa vita. Mwaka 1975 Serikali ya Mwl, Julius Kambarage Nyerere ilitaifisha kiwanda cha Tanganyika Packers na kukifanya kuwa mali halali ya Serikali ya Tanganyika. Baada ya Serikaki kutaifisha kiwanda, uzalishaji na ubora wa nyama iliyosindikwa ulipungua kwa kiasi kikubwa sana kwa kukosa utaalam na ufundi. Serikali walinyimwa leseni ya kusafirisha nyama iliyosindikwa. Walinyimwa (phytosanitary certificate) kuthibitisha ubora wa vyakula vya package Waingereza wakawanyima cheti cha ubora na usafi wa nyama inayozalishwa. Soko la Ulaya ambako ndiyo walikuwa wanunuzi wakubwa likapotea. Soko la ndani likawa gumu kiwanda kikaanza kusambaza nyama zake kwenye mabucha ya ndani ya Dar es Salaam na mwaka 1992 kiwanda kikafariki. Taratibu kiwanda cha Tanganyika Packers kikaanza kufariki. Baadaye kilibinafsishwa kwa mbunge wa Kawe, aliishia kuuza mashine na vipuri. Mbunge wa Jimbo la Kawe wakati huo, aliitwa Zainuddin Adamjee (CCM). aliposhindwa kukiendeleza akaamua kung’oa mitambo na vipuri. Mapaa, madirisha, milango na vifungashio vilipelekwa Mapambano (veterinary) na kupimwa kama vyuma chakavu na mapaa kuuzwa kama used. Picha chini, zinaonesha ng’ombe wakiwa Tanganyika Packers kabla kiwanda hakijataifishwa. Kushoto inaonesha gofu la kiwanda hicho lilivyo leo Leo Tanganyika Packers palipokuwa KIWANDA kilichotoa ajira zaidi 2000, pamefunguliwa KANISA. Watu wanauziwa udongo na mafuta na maji. Leo Tanganyika Packers watu ndiyo kondoo na wanajipekeka wenyewe machinjioni. Wananyeshwa maji na kulishwa udongo wakielezwa ni UPAKO. Kanisa la MWAMPOSA (wao wanamuita MTUME) linawaombea maelfu ya vijana waliomaliza vyuo vikuu wakakosa ajira ili wapate ajira kwa maombi. Maelfu ya vijana wanakesha na kufunga kwake, wananunua mafuta na maji ya UPAKO wapate KAZI. MWAMPOSA amejenga hoteli kubwa MBEYA. Aliyewaroga watawala wa CCM na watanzania alikufa zamani na dawa ya kuwasaidia aliitupa baharini na haiwezi kupatikana leo au kesho. Mazombi. MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.

Martin Maranja Masese

36,819 Aufrufe • vor 1 Jahr

VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye Nape Moses Nnauye , ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa likipigiwa kelele bungeni mwaka 2018. Akizungumza mbele ya wakazi wa Kilwa mkoani Lindi siku ya Alhamisi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Chama Cha Mapinduzi , CPA Amos Makalla, Nape amesema ni unafiki kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani kujifanya kuwa na uchungu na zao la korosho wakati historia inaonesha walikaa kimya wakati wakulima walihitaji sauti yao. Akimtaja aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo , Godbless Lema Godbless E.J. Lema , Nape alisema licha ya kuwa na fursa ya kuwatetea wakulima wa korosho wakati wa mjadala mzito bungeni, alichagua kunyamaza. “Tulikuwa tunapigana kwa ajili ya wakulima wa korosho, tukasimama kuwatetea, lakini hawa walikaa kimya. Leo wanajifanya wana uchungu, ni wanafiki,” amesema Nape. Katika kueleza mchango wa serikali ya sasa, Nape amesema hakuna Rais aliyewahi kusimama na mkulima wa korosho kama Rais Samia Suluhu Hassan. “Wanakulwa, wanakusini, wakulima wa korosho, nataka niseme hivi, katika historia ya zao la korosho, hakuna Rais aliyesimama na mkulima kama Mama Samia. Hayupo!” amesisitiza.

Jambo TV

40,652 Aufrufe • vor 1 Jahr