Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kiwanda cha Korosho Kwale

133,427 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля upcoming_niccur💯
upcoming_niccur💯1 год назад

Is like that coastal province has many projects that has fallen down

Фото профиля PMK
PMK1 год назад

Oh! Uhuru was better...crap! We are a joke as a country!! poverty is well planned seeing this. Those people in coast deserve all that! Wacha kura zao ziwasaidie sasa. 2027 we vote vibaya tena!!!

Фото профиля Goal Joseph
Goal Joseph1 год назад

Will you join the truth tellers in the fight for freedom and accountability, or will you cower in fear and submit to the demands of the Government? The choice is yours. But whatever you do, do not underestimate the consequences of your choices. Thanks @MoraraKebasoSnr good job!

Фото профиля Daniel Musembi
Daniel Musembi1 год назад

Politicians use these stalled projects to steal public funds, every time you hear a budget has been set to revive it, just to end being looted

Фото профиля Maxi 🧢 CLONE
Maxi 🧢 CLONE1 год назад

Nmekua hii mtaa nashangaa kwani Huyo Mpig anadhani tuko 2021 ama?? New fence lakini tarehe n yaliyopita #ZAAR

Фото профиля Patti
Patti1 год назад

Inject 💉 inject mercilessly

Фото профиля Yusuf Ramadhan
Yusuf Ramadhan1 год назад

I've just 1923hrs seen your vehicle in Diani bro....I swear you overworking ....people don't appreciate you enough ..I wish they'd see your sacrifices to stay away from your family for our sake they won't be slandering you the way they doing rn...God bless you Morara

Фото профиля GENZ GOLIATH
GENZ GOLIATH1 год назад

This is impunity and pure corruption

Фото профиля Liston.Hc
Liston.Hc1 год назад

Ukimaliza enda kilifi county,enda paka kaloleni,shika Barbara ya kwenda kilifi town,branch hapo chanagande,enda na hio rough road paka karibu tsanzuni Kuna hospital hapo haijamilzwa 10 yrs now ata yaanguka

Фото профиля Kipngeno🇰🇪
Kipngeno🇰🇪1 год назад

Coast nayo Kila kitu ni wizi tu ..they a slow in everything

Похожие видео

VIDEO: Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye Nape Moses Nnauye , ameweka wazi msimamo wake kuhusu hoja zinazoibuliwa na baadhi ya wanasiasa wa upinzani kuhusu unyonyaji katika mfumo wa stakabadhi ghalani kwenye zao la korosho, akisema wengi wao walikosa ujasiri wa kuwatetea wakulima wakati suala hilo lilipokuwa likipigiwa kelele bungeni mwaka 2018. Akizungumza mbele ya wakazi wa Kilwa mkoani Lindi siku ya Alhamisi, katika mkutano wa hadhara uliofanyika wakati wa ziara ya Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Chama Cha Mapinduzi , CPA Amos Makalla, Nape amesema ni unafiki kwa baadhi ya wanasiasa wa upinzani kujifanya kuwa na uchungu na zao la korosho wakati historia inaonesha walikaa kimya wakati wakulima walihitaji sauti yao. Akimtaja aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo , Godbless Lema Godbless E.J. Lema , Nape alisema licha ya kuwa na fursa ya kuwatetea wakulima wa korosho wakati wa mjadala mzito bungeni, alichagua kunyamaza. “Tulikuwa tunapigana kwa ajili ya wakulima wa korosho, tukasimama kuwatetea, lakini hawa walikaa kimya. Leo wanajifanya wana uchungu, ni wanafiki,” amesema Nape. Katika kueleza mchango wa serikali ya sasa, Nape amesema hakuna Rais aliyewahi kusimama na mkulima wa korosho kama Rais Samia Suluhu Hassan. “Wanakulwa, wanakusini, wakulima wa korosho, nataka niseme hivi, katika historia ya zao la korosho, hakuna Rais aliyesimama na mkulima kama Mama Samia. Hayupo!” amesisitiza.

Jambo TV

40,689 просмотров • 1 год назад

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche amekosoa namna ambavyo serikali imekuwa ikitoa tenda mbalimbali kwa Raia wa nje ya nchi na kuwaacha watanzania bila ajira, akikosoa pia usafirishaji mkubwa wa malighafi kilimo ikiwemo Korosho zinazosafirishwa kwenda nje ya nchi badala ya kuongezewa thamani ndani ya nchi ili kuongeza fursa za ajira na mzunguko wa fedha nchini. Wakati wa Mkutano wake wa hadhara Mtwara Mjini leo Aprili 05, 2025, Heche ameeleza kuwa vijana wengi kwasasa wamejiingiza kwenye michezi ya kamari kutokana na kukosekana kwa siasa safi na utawala bora nchini, akiwataka wananchi wa Mtwara kujihurumia na kuchukua hatua za kukiondoa Chama Cha Mapinduzi madarakani. "Hata tukiwapa miaka 10,000 hawawezi kubadilisha nchi hii, wataendelea tu kuturudisha nyuma. Tunapita kwenye barabara za Mtwara utafikiria tunaenda kwenye maandaki ya vita." Ameeleza John Heche. Akiilingalisha Tanzania na Dubai, Heche amesema mwaka 1961 Dubai ilikuwa na watu 70,000 na ilipofika mwaka 1969 wakati Tanzania ikiwa tayari imekwishapata uhuru, Dubai ndipo ilipogundua pipa lake la kwanza la mafuta na leo hii Dubai ina watu milioni tatu huku Tanzania ikiwa na watu Milioni 63, lakini ameshangaa namna ambavyo mpaka leo Tanzania imeshindwa kujiendesha kufikia hatua ya kuikabidhi Dubai Bandari zake waiendeshe. Heche pia amekosoa namna ambavyo serikali imeshindwa kuwa na Mpango wa ujenzi wa viwanda vya Kimkakati ikiwemo ujenzi wa kiwanda cha kubangua Korosho Mkoani Mtwara, akisema Kiwanda hicho kingesaidia kuongeza fursa za ajira, kusisimua uchumi wa Mtwara pamoja na kustawisha uchumi wa Wakulima kwa kuongeza thamani kwenye mazao yao ya korosho.

Jambo TV

10,563 просмотров • 1 год назад