Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kizimkazi 😉
76,508 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Uchambuzi mfupi na wenye maana! My note “sherehe hizi hufanikiwa zaidi afrika kutokana na uduni wa elimu za wakaazi na wananchi kwa ujumla katika maeneo ya matamasha” tz bdo ni kapu la mazezeta sana. Ukweli unajulikana lakni hauwezi kuruhusiwa kuwekwa wazi! Ujinga mwingine huu

Umeifanya habari hii kitaalam sana brother,Mungu akubariki. Ni Dak 4:57 za moto sana,cha kushangaza ni kwamba wananchi wengi (mazwazwa) hata wasio wenyeji wa eneo husika wamekuwa wakitukuza sana uwekezaji huo. Mfano:East Africa tu; Gbasolite-Mobutu Chato-Magufuli, Kizimkazi-Samia

"Taasisi za kisiasa ni dhaifu na wananchi wake wana elimu duni"_Quote ya Kitafiti hii anayebisha aje na Tafiti yake!

Point to note: Taasisi za kisiasa ni dhaifu na wananchi wake wana elimu duni..

Wanahabari wa sampuli hii wanaendelea kuadimika kwa kasi sana. Kuuliza kwa hoja kwa nini mambo fulani yanatendeka kwa namna na wakati flani imekua kama uhaini

Chanzo chake ni siasa

You have a podcast?Would advice. It will sell. The analytics are deep well articulated.

Nchi inaenda kuwa na watu wa hovyo sana. Hata vitu vidogo kama hivo mnasubiri kuandikiwa script ndio mje kujibu.

Sijaona logic ya ulichoandika hapa kwamba maendeleo yanatoweka how? Kwamba uwanja unaojengwa utahama? Au shule itahama kama Rais hatokuwepo sometimes Mkikosa nafasi msiishie tu kuchongea viongozi kwa wananchi wao Kizimkazi ni Tanzania pia kama zilivyo sehemu nyingine.

Kudos brother for this great narration 🙌. But be ready for attacks from Chawa wa Mama 🤣🤣
Benzer Videolar
Sensitive content
ORJİNAL HESAP.... HANIMEFENDİYLE GÜZEL GECEMİZZ DEVAM EDİYORR.. 🤠🤠🤠 EĞLENCELİ GEÇİYORR.. 😉😉😉
GALERİCİ KERİM🚘
60,053 görüntüleme • 1 yıl önce
#VakıfbankSıfırBakiye Yapay zeka da bizden yana 😉😉
🇹🇷Yasin Beşiktaş 🦅🦅
89,744 görüntüleme • 1 yıl önce
