Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
KONDA MWENYE DEGREE YA MINING ENGINEERING ๐๐๐๐
93,562 Aufrufe โข vor 2 Jahren โขvia X (Twitter)
10 Kommentare

jamhuri ya samakivor 2 Jahren
Watu wanajua kukatisha tamaa,juzi bhna nimekutana na aliyekuwa dem wangu tulisoma wote chuo kikuu,nimfanyakazi wa bank NMB himo pale mimi now ni maching akanionea huruma eti jman mduma pole mimi npo hpo nmb,chukua namb yang unitumie vyeti vyko nikusaidie, acha tu,ile njia sipit.

Eddovor 2 Jahren
Hata sisi wanafunz mnatukatisha tamaa ๐คฃ

Mchambuzi Wa Mchongo โฝvor 2 Jahren
๐๐๐ hata mimi

Kiuchi_Tzvor 2 Jahren
Tuna fumbokhan ana GPA ya 4 na kawa chawa bora huyo konda

Steevor 2 Jahren
Tulia wewe, Bado mmoja tunasepa

baizovor 2 Jahren
Kweli elimu umekosa thamanai degree zimetapaka kama njugu ,Wasomi wanadharaulika Sana๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐ญ๐ญ

MALIMIโ๏ธvor 2 Jahren
Nikiza bado muongo tu mpaka kwenye kuigiza, vitu vya hombolo bado unavyo ๐

#kigogowasamiavor 2 Jahren
Nimecheka sana

Traves Senior๐ฆ
vor 2 Jahren
๐๐๐

Iddรฝ Athรผmanivor 2 Jahren
Oyaaa๐
