Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
KONDA MWENYE DEGREE YA MINING ENGINEERING 😂😂😂😂
93,562 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

jamhuri ya samaki2 yıl önce
Watu wanajua kukatisha tamaa,juzi bhna nimekutana na aliyekuwa dem wangu tulisoma wote chuo kikuu,nimfanyakazi wa bank NMB himo pale mimi now ni maching akanionea huruma eti jman mduma pole mimi npo hpo nmb,chukua namb yang unitumie vyeti vyko nikusaidie, acha tu,ile njia sipit.

Eddo2 yıl önce
Hata sisi wanafunz mnatukatisha tamaa 🤣

Mchambuzi Wa Mchongo ⚽2 yıl önce
😂😂😂 hata mimi

Kiuchi_Tz2 yıl önce
Tuna fumbokhan ana GPA ya 4 na kawa chawa bora huyo konda

Stee2 yıl önce
Tulia wewe, Bado mmoja tunasepa

baizo2 yıl önce
Kweli elimu umekosa thamanai degree zimetapaka kama njugu ,Wasomi wanadharaulika Sana🤣🤣🤣😭😭

MALIMI☀️2 yıl önce
Nikiza bado muongo tu mpaka kwenye kuigiza, vitu vya hombolo bado unavyo 😄

#kigogowasamia2 yıl önce
Nimecheka sana

Traves Senior🦅2 yıl önce
😂😂😂

Iddý Athümani2 yıl önce
Oyaaa🙌
