Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kosa la huyu mama ni nini?

78,461 просмотров • 2 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Sia Da Vinci💎
Sia Da Vinci💎2 лет назад

Mfanyabiashara kama huyo anatakiwa awe na mwanasheria. Yani yeye alitakiwa awaambie sijibu lolote mpaka mwanasheria wangu afike

Фото профиля Emmanuel Mwita
Emmanuel Mwita2 лет назад

Kwanini wanamlazimisha auze sukari yake jameni 😂😂😂😂

Фото профиля M A G I R I
M A G I R I2 лет назад

Ndio tabia ya rafiki zako mapolisi wakishirikiana na makada.

Фото профиля Awesu Ally (Mkubwa)
Awesu Ally (Mkubwa)2 лет назад

Sasa serikali si walete yao wauze bei watakayo!

Фото профиля Zature
Zature2 лет назад

Price gauging ni makosa, Price gauging is the practice of increasing the prices of goods, services, or commodities to a level much higher than is considered reasonable or fair, usually in times of natural disaster or other crisis.

Фото профиля Davidin Pulan Eliwangu
Davidin Pulan Eliwangu2 лет назад

Hata kama ana michezo ya ulanguzi ila wakubali tu kuwa leo wamemkosa kwenye mtego wao butu hapa wanalazimishia kosa.

Фото профиля Raphael Mheta
Raphael Mheta2 лет назад

Wanamuonea tu huyu mama ana kosa gani sasa... Hii nchi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮

Фото профиля Mbuzi
Mbuzi2 лет назад

Wasipofanya hivi mtajuaje sirikali ipo kazini!? Hapa mama anadondoshewa jumba bovu kuficha uzembe wa watu wachache sirikalini.... #KichwaChaMwendaWazimu

Фото профиля Hancy Machemba
Hancy Machemba2 лет назад

Kaka unajuwa sisi wafanyabiashara ndiyo huwa tunacheza na bei,bidhaa ipo lkn tunacheza na supply ili demand iwe kubwa na kupiga hela. Ktk uhaba wa sukari na viwanda vinahaha unadhani kweli wateja hawajaenda kwake kutafuta sukari? Polisi sio wajinga wanajua nn wanafanya

Фото профиля Aloyce Jackson
Aloyce Jackson2 лет назад

sa ununue jumla bei juu af uuze bei elekezi ni ujinga sana....

Похожие видео