正在加载视频...
视频加载失败
Kuishi Chugga raha sana 😅
56,323 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Usi shawishike na ujinga wa mtandao akuna kitu nam mateso na balaa tuuu pesa akuna bola dar atleast ila sio chuga

whoa have you heard this song?

It’s all fun and games hadi hapo gari ikiyumba kidogo tu na kuparamia hilo nyomi pembeni

Barabara zina humps then zinafanyiwa racing..?

Jamaa wa Forester anaanza race tairi inaangalia kushoto

Hii race labda waliishia nssf pale... soko la madini pale kuna Hump ya mchongo...

Hapo suka wa hiyo fozzy ni mataifa wa hiyo mark 2 2jz ni George F na hii fozzy DKP mbuche mbuche gang hapo mbona hatujatoa vyuma ndani polisi wangetukariri ila vyuma vipo ndani vimepaki tu

Hatari sana barabara ndogo raia walipaswa wawe mbali @lutherjr___

Hizi subari ni balaa

Michezo🔥🔥

Alafu hii Dangerous event inasimamiwa na Police
