Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kumbe Duuh. 😳😳

88,390 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Tamim Kifungu
Tamim Kifungu1 год назад

Ukiwa hujakutana na hiz mbanga utaona jamaa kama hataki kubeba jukum lake au kapanic ila usiombe yakukute unaweza zima sim kwaajil ya karaha na ukipigiwa sim kama mgonjwa mtoto toa pesa alafu kesho/jion nenda kimya kimya utakuta mtoto wak yupo Busy anacheza mtalaka kaenda club 🙉

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

perfect beach vibes

Фото профиля Wiston Kapilipili 🇹🇿
Wiston Kapilipili 🇹🇿1 год назад

Ukweli upo. Sio rahisi kumsikia single mother akisema et baba wa mtoto huwaga anahudumia mwanae badala yake utasiki "Nipo napambana kumtunza mwanangu"

Фото профиля Abdallah Mkindi
Abdallah Mkindi1 год назад

Kwannii mama samia asimteue huyu sasa akawa waziri jinsia na watoto maaan hiii nondooo kali

Фото профиля Adv Jackob Mwasiposya
Adv Jackob Mwasiposya1 год назад

Huyu ndio Mwanaume. Mwanamke anatumia mtoto kama njia ya kutatua shida zake, pamoja na kumkomoa Mzazi mwenzake, hapaswi kuchekewa.

Фото профиля ___Kai✨️
___Kai✨️1 год назад

Masuala ya ww ni mkeo watoto yanawahusu nn,maneno mengi hakuna cha msingi anachoongea,km kweli anania na hao watoto angefanya km sugu waende mahakamani apewe watoto awalee mwenyew huyu ni mbabaishaji mwanaume mwenye nia ya kupambania watoto wake huwezi kumkuta anatafuta excuse.

Фото профиля Goat
Goat1 год назад

Apewe uwenyekiti wa wanaume

Фото профиля Mweusi
Mweusi1 год назад

Kwenye kikao akija apewe seat ya mbele kabisa

Фото профиля Gerald
Gerald1 год назад

Huu ndio ukweli

Фото профиля 𝙓𝙨
𝙓𝙨1 год назад

Yote ni kweli ila ni mtoto wako unamuadhibu hapo Tafuta namna

Фото профиля suriama
suriama1 год назад

Yupo sawa kabisa wanawake wanatumia watoto kama njia ya kujipatia kipato anaweza kusema mtoto anaumwa unatuma pesa ya matibabu na anakupangia kabisa tuma 50k Sasa ulipiga hesabu siyo mbaya unatuma ukienda kimya kimya bila taarifa unakuta dogo mzima kabisa ila mama yupo bar 🍻🚮

Похожие видео