Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

54,291 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 11

Фото профиля Champion
Champion1 год назад

Binafsi naamini kwamba kama umemsaidia mtu kufika sehemu fulani basi yeye ndiye anatakiwa aseme kwamba fulani na fulani walinishika mkono. Lakini wewe tena uliyesaidia ndiye unakuja mbele ya media na kuanza kumsemea mtu sidhani kama imekaa poa ni kama unatafuta huruma hivi.

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

perfect beach vibes

Фото профиля Maverick 🇸🇴
Maverick 🇸🇴1 год назад

Mimi pia nakubali kwamba katika safari ya Mondi Bob kausika pakubwa mno, mpaka jina la Wasafi lilianzia kwa Bob.

Фото профиля Luca_ton
Luca_ton1 год назад

Nakubali wasanii wasio kuwa na unafiki kwenye mafanikio ya wenzao big up Bob ✊✊✊

Фото профиля salehe mansul
salehe mansul1 год назад

Mafanikio ya diamond yana watesa wasanii wengi sana

Фото профиля Dee Brineth
Dee Brineth1 год назад

Bob Ana Mchango Mkubwa Sana Sana Kufika Alipo Mond Ila Huyu Huyu Aliapa Baada Ya Mond Kutoka Sharobaro Records Lazima Apotee Coz Yeye Ndio Anamjulia

Фото профиля Mtu dhambi
Mtu dhambi1 год назад

Unyama tu, 10M kwa 2011 ni kunwa mno

Фото профиля L A M B E R T
L A M B E R T1 год назад

Nan alibeba hio mimba ya mond?

Фото профиля 𝐏𝐞𝐩𝐩𝐢𝐧𝐨 𝐘𝐮̂𝐬𝐢𝐯
𝐏𝐞𝐩𝐩𝐢𝐧𝐨 𝐘𝐮̂𝐬𝐢𝐯1 год назад

Ndio umejua leo brother?

Фото профиля Its Cardinal
Its Cardinal1 год назад

Nani alkuwa baba nani alkuwa mama sasa na nani aliingia leba?😂

Фото профиля §am™
§am™1 год назад

Sema huyu demu apa pembeni 😅😅💔

Похожие видео