Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

101,663 views โ€ข 1 year ago โ€ขvia X (Twitter)

10 Comments

Thompson Jr. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ's profile picture
Thompson Jr. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ1 year ago

Propaganda nyingine ni za kipumbavu. Kama watekaji wapo ndani ya CHADEMA mnataka kusema wana nguvu kushinda vyombo vya dola kiasi cha kutotambulika na kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria? By the way, hii kauli Slaa aliizungumza lini? By then, Uhusiano wake na CHADEMA ulikuwaje?

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 year ago

Anatakiwa kuhojiwa

Sameer 98's profile picture
Sameer 981 year ago

Sawa watekaji ndio hawa chadema navyojua hii ni doa kwa serikali kwahiyo serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa wauni wa chadema?

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 year ago

Hii ndio hoja ya msingi

Gregory Charles Ndaki's profile picture
Gregory Charles Ndaki1 year ago

Suala la Kutekwa watu binafsi nalitazama kwa Mapana sana toka Kipindi cha Hayati Dr Jpm siyo Suala la kwenda Kishabiki na Mihemko au kunyoshea Kidole Serikali @SuluhuSamia na Police @tanpol .Hapa Tunatakiwa Kutazama kwa mapana sana kuna Wakati nasema Hata wabaya au maadui au Rafiki wachukiao nao wanacheza Biti ya Upepo huu ,Vyama vya siasa , Vikundi ,Mtu (Watu) uliyemdhurumu(Uliowadhurumu) au kumuumiza (kuwaumiza), Tamaa za Mali (Vitu) /Madaraka,Hofu ya Madaraka ,Siasa, Ugomvi,Uzinzi na Uasherati ,Chuki za Vyama vya Sia ,Chukui ,Wivu mbaya na ukiambatana na Ubinafsi na Roho mbaya,Migogoro n.k .Jeshi la Police na vyombo vya Ulinzi na Usalama vyetu tunaviomba Viongoze Modern most technologoa wepons na Ueledi .Tanzania Iendelee kuwa sehemu salama na Kisiwa cha Amani ns Utulivu.

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 year ago

@SuluhuSamia @tanpol Exactly ukilitazama hili swala kwenye angle moja tunaweza miss some details

RQ's profile picture
RQ1 year ago

Mbona hili amliongelei!!

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 year ago

Umefatilia tweets zangu?

Solomon Franco's profile picture
Solomon Franco1 year ago

Issue ni kwamba baada ya kupokea taarifa hizo je Dr. Slaa alienda kutoa taarifa police juu ya tukio hilo baada ya mhusika kusema mbele yake kuwa yeye ndio alihusika? Je watu wa nje wenye nia mbaya wakitaka kufanya uovu ndani ya chama kwa kutumia watu ndani ya chama haiwezekani?

๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š's profile picture
๐‹๐š๐›๐ž๐ฅ๐ฅ๐š ๐Œ๐š๐Ÿ๐ข๐š1 year ago

Hii case ilipaswa kuchunguzwa Kwa kina

Related Videos