Loading video...
Video Failed to Load
Kumbe ni kawaida yake
87,554 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Haya ndio mambo ya Thomas mashali yaliompelekea umauti Mambo ya kujikuta bondia adi mtaani Duh atakama mwizi kwa heshima aliyoijenga Mwakinyo ni amefanya upuuzi

Dah Mashali aliitiwa mwizi

Masikini waliopakana na mtu mwenye uwezo hawajawahi kumpenda jirani yao mwenye unafu wa maisha never

Thomas Mashali alianza hivi hivi kama Hassan Mwakinyo anavyoelekea.Mwisho wake ulikuwa kifo cha maumivu sana mbele ya jamii

Alipigwa km mwizi

Huwezi kuamini maneno za huyu mama clip nyingi anaongea yeye sasa uliwahi kuona ndugu wa mwizi akamkataa mwizi akawa upande wa alieibiwa, ukitaka kujua hali halisi wahoji wanaume

Mwakinyo anatatizo la afya ya akili uyo sio wajua jela inatikiwa atibiwe kama ameweza kugombana na kaka yake anasema hataki kaka yake aje amzike na kaka yake ndo alimfundisha ngumi uyu sio mzima

Kumbe?

perfect beach vibes

Kwa story za Tanga na nature yao kwa kuwa Mwakinyo nae wa huko huko wanajuana wenyewe hawa niseme tu shiriki na husda ndio misingi

Watu wa pwani wana mambo mengi ya kijinga hasa ukijipata ukakaa katikati ya masikini.
