Loading video...
Video Failed to Load
Kumbe sio Joti pekee anayeweza usanii
12,228 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

kajoka1 year ago
Jama nawasikia wanajibu. Itika peke yako. Mwingine lete wali😂😂😂

Solar Heavy1 year ago
what do you think of this song?

Isaya Machaine,CPSP (T).1 year ago
Watu wanasema wali wao na ubwabwa huku yeye anasema bendera 🤣🤣🤣

Juliana(PHD)1 year ago
Baada ya Mbowe kugoma kugombea uraisi kupitia Chauma kama kina Mrema walivyomtapeli mama ataenda Chauma n Chadema kupasuka wamebaki wanachezea kodi zetu kwenye starehe magari mahotel

Mgagaa na upwa!1 year ago
""""CHAUMAAAAAAA"""" WAMEKULA CHUMA.

Nice nicera1 year ago
Bado hawajasikia upande wa pili 🤣🤣 sijui upi huo

Richard Senkondo1 year ago
Samhani, naruhusiwa kucheka?

Maguzu Maguzu1 year ago
😁😁😁😁

John Kisomo1 year ago
Kudadeki 😄😄😄

kinduru1 year ago
😂😂😂leta wali

dingi 07051 year ago
Watu ni wengi sana Sema wametawanyika huwezi kuwaona kwenye clip
