Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kumeanza kuchangamka sasa

64,379 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

11 Kommentare

Profilbild von Thadei Mhabuka
Thadei Mhabukavor 1 Jahr

Huyo hapo nimewasogezea

Profilbild von Solar Heavy
Solar Heavyvor 1 Jahr

space meets sound

Profilbild von Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|
Arnold_Baba_Jenny 🇹🇿 |NIT alumnus|vor 1 Jahr

Huyu waende wakamchukue tu sio ishu ya kumtafutaaa

Profilbild von MAniLaboNa
MAniLaboNavor 1 Jahr

kwamba hawamfahamu atafutwe si mtu wao yule anaitwa Dr Edward Cosseny ,Na ameonekana mara ofisi za @ccm_tanzania akiwa Lumumba na baadhi ya prominent leaders kama Mhe Makonda....wanamtafuta vipi??Si wamkamate tuh

Profilbild von BORA KAFA aka BOB MAZISHI.
BORA KAFA aka BOB MAZISHI.vor 1 Jahr

Ww Bashungwa bae nae ni kuma mwili mzima, “emana umbiligone”. Yani humjui kada mwanzako wa @ccm_tanzania Frey Edward Cosseny? Wakati mmnashinda nae lumumba hpo, ww nae ni hopeless mmoja mpuuzi kbs ww. Serekari hamko serious na hii kesi.

Profilbild von WASAFIRI TANZANIA
WASAFIRI TANZANIAvor 1 Jahr

Ni bora ukakamatwa na kuwekwa ndani kwa kesi ya ujambazi kwamba ulikua unatafuta pesa kuliko kukamatwa kwa kuongea ujinga au kutukana watu bila faida Mdomo huponza kichwa

Profilbild von Legal Drug Dealer
Legal Drug Dealervor 1 Jahr

Kuna watu wanataka watukanwe ili wengine watafutiwe kesi

Profilbild von Gubuka
Gubukavor 1 Jahr

Hakuna jipya hapo ni usenge tu mara ngapi wanaongea hayo mzee Kibao mpk leo kimya

Profilbild von mux venal
mux venalvor 1 Jahr

Hawa wanataka tuwatukane waendelee kututeka

Profilbild von Balyx
Balyxvor 1 Jahr

Yaaani anayetafutwa kwani hawamjui?

Profilbild von Joe Maro 🇹🇿
Joe Maro 🇹🇿vor 1 Jahr

Zuga! Jeshi la polisi ndio mhusika wa haya mambo ukishaona waziri kaongea tayari siasa

Ähnliche Videos