正在加载视频...

视频加载失败

Kumekucha JUMA😂😂😂rudisha utamu wa watu

28,892 次观看 • 16 天前 •via X (Twitter)

25 条评论

Selestine Simon 的头像
Selestine Simon16 天前

Naomba utamu wangu 😂😂😂😂😂

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

Mambo yasiwe mengi 😂😂😂

Selestine Simon 的头像
Selestine Simon16 天前

😆😆😆

Serkhan Yamal ( Barc Fc 🟣🔴 ) 的头像
Serkhan Yamal ( Barc Fc 🟣🔴 )16 天前

Utamunkila mmoja aliupata..je yeye anaweza kurudisha utamu wa Juma

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

😂😂😂😂

Luminar 的头像
Luminar7 天前

Ila juma kwa nini kama kumbikumbi 😂😂😂

Mtumish✝️ 的头像
Mtumish✝️16 天前

😂😂😂🙌…

Watusafi Consult 的头像
Watusafi Consult16 天前

Hakuna mtu Tanzania bara anaitwa Juma athuman abdallah. Maigizo

hustler 的头像
hustler16 天前

Analia kama kumbi kumbi 😂😂😂

Kuboja 的头像
Kuboja16 天前

Dogo katajwa majina yote 3 da ika hii Gen Z haina hata filter ya maneno

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

😂😂😂

Life Of Vike 的头像
Life Of Vike14 天前

We juma weeeh 😀 @bahati_lusako

Issa Taslima 的头像
Issa Taslima14 天前

hio ndio Tanzania Sasa ya Lissu anapigania

kalunguyeye 的头像
kalunguyeye16 天前

Hii si ingewekwa kule Facebook aisee

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

Ichukue ukaiweke😂😂😂

kalunguyeye 的头像
kalunguyeye11 天前

Duh! Acha nimwambie kaka Elon aishushe🤣

DOCHA  的头像
DOCHA 14 天前

😂😂😂

Fundi Magari Msafi 🔞 的头像
Fundi Magari Msafi 🔞16 天前

Wazee tuwe tunaangalia na mademu wa kudate nao

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

😂😂😂😂😂😂ye kwann anamdai Tshirt

Fundi Magari Msafi 🔞 的头像
Fundi Magari Msafi 🔞16 天前

Hapo kumtetea mchizi nae kazi kweli

Fundi Magari Msafi 🔞 的头像
Fundi Magari Msafi 🔞16 天前

😂😂😂😂

Samia The Killer🎖️🎖️🎖️ 的头像
Samia The Killer🎖️🎖️🎖️16 天前

Inatusaidia nini? Zaidi ya kukupotezea muda usifikili vitu vya muhimu.

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

We umechanganyikiwa😂😂😂

Samia The Killer🎖️🎖️🎖️ 的头像
Samia The Killer🎖️🎖️🎖️16 天前

Hadi unaweka imoji za kucheka nani apo chizi? Fikiri mambo muhimu.

Thisisliie🌹 的头像
Thisisliie🌹16 天前

😂😂unachekesha ndiomana nakucheka😂😂ukitaka mambo muhimu unajua account za kupata iko unachotafuta

相关视频