Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

339,084 Aufrufe โ€ข vor 1 Jahr โ€ขvia X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von jose junior
jose juniorvor 1 Jahr

Polisi skuizi bana ni kama jamiii does not give a damn about them, juzi nmepishana na polisi mmoja nikapita kando kabisa kama nmekutana na mtu mwenye ukoma,mwingine kaja kijiweni juzi wadau WOTE tukasepa tukamuacha peke ake๐Ÿคฃ

Profilbild von ubuntu philosophy
ubuntu philosophyvor 1 Jahr

Eti gusa hii uniform uone, Kwan ukishavaa uniform ndio ukipigwa ngumi haiingii? Vitu vingine tumieni akili maana li jamaa likivurugwa likaanza kukucharanga mapanga wataifunga lakin na ww inabaki alazwe pema peponi amina.

Profilbild von Wakana Wakilo
Wakana Wakilovor 1 Jahr

Kuna mtu anaenda kufutwa kazi sad mitando imekuja na kuondoka na kazi za watu. Inaonekana ni kawaida kwa mazingira yetu lakini ni picha mbaya kwa JWT ... ndo maana wanabaka kumbe

Profilbild von OMUSHAIJA ENTARE
OMUSHAIJA ENTAREvor 1 Jahr

Eti kisa uniform yaaan mtu anakuua na hiyo uniform na kesi inaenda mahakamani anashinda au anahonga anaachiwa wakati wewe ushakufa

Profilbild von Nature/Wildlife/People.
Nature/Wildlife/People.vor 1 Jahr

Tutafika tu mwenyezi ana yake ya kutufikisha huko tutakapo iko siku watateka mtoto,ndugu au jamaa wa mwenzao yani hawa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, wala hatuko mbali sana watanyooshana wenyewe kwa wenyewe yani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Tanganyika One ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ
Tanganyika One ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆvor 1 Jahr

Safi sana...tumeanza pazuri mpk 2025...kila mtanzania atakuwa hayupo mnyonge

Profilbild von AL HelmsMan
AL HelmsManvor 1 Jahr

Kiualisia dogo kakosa adabu, tena mbele ya Bro wake mabaka, awajibishwe kwanza

Profilbild von Mishy๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซ
Mishy๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ซvor 1 Jahr

Sasa Askari wa kike anaendaje kukamata Jinsia ya Me๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ anyway @john__himself Naona Naona ๐Ÿ˜‚

Profilbild von nameless isle king
nameless isle kingvor 1 Jahr

Wakiwa wengi ndio wanakua na jeuri, hapo yupo pekee yake huyo mbweha hana jeuri....

Profilbild von Bonta Kiraka
Bonta Kirakavor 1 Jahr

Mwamba anatembelea upepo wa brother ake mabaka ๐Ÿ’ชโœŒ๏ธ

ร„hnliche Videos