正在加载视频...

视频加载失败

339,084 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

jose junior 的头像
jose junior1 年前

Polisi skuizi bana ni kama jamiii does not give a damn about them, juzi nmepishana na polisi mmoja nikapita kando kabisa kama nmekutana na mtu mwenye ukoma,mwingine kaja kijiweni juzi wadau WOTE tukasepa tukamuacha peke ake🤣

ubuntu philosophy 的头像
ubuntu philosophy1 年前

Eti gusa hii uniform uone, Kwan ukishavaa uniform ndio ukipigwa ngumi haiingii? Vitu vingine tumieni akili maana li jamaa likivurugwa likaanza kukucharanga mapanga wataifunga lakin na ww inabaki alazwe pema peponi amina.

Wakana Wakilo 的头像
Wakana Wakilo1 年前

Kuna mtu anaenda kufutwa kazi sad mitando imekuja na kuondoka na kazi za watu. Inaonekana ni kawaida kwa mazingira yetu lakini ni picha mbaya kwa JWT ... ndo maana wanabaka kumbe

OMUSHAIJA ENTARE 的头像
OMUSHAIJA ENTARE1 年前

Eti kisa uniform yaaan mtu anakuua na hiyo uniform na kesi inaenda mahakamani anashinda au anahonga anaachiwa wakati wewe ushakufa

Nature/Wildlife/People. 的头像
Nature/Wildlife/People.1 年前

Tutafika tu mwenyezi ana yake ya kutufikisha huko tutakapo iko siku watateka mtoto,ndugu au jamaa wa mwenzao yani hawa watamalizana wenyewe kwa wenyewe, wala hatuko mbali sana watanyooshana wenyewe kwa wenyewe yani🤣🤣🤣

Tanganyika One 🇰🇪🇿🇦 的头像
Tanganyika One 🇰🇪🇿🇦1 年前

Safi sana...tumeanza pazuri mpk 2025...kila mtanzania atakuwa hayupo mnyonge

AL HelmsMan 的头像
AL HelmsMan1 年前

Kiualisia dogo kakosa adabu, tena mbele ya Bro wake mabaka, awajibishwe kwanza

Mishy🇲🇫 的头像
Mishy🇲🇫1 年前

Sasa Askari wa kike anaendaje kukamata Jinsia ya Me😂😂 anyway @john__himself Naona Naona 😂

nameless isle king 的头像
nameless isle king1 年前

Wakiwa wengi ndio wanakua na jeuri, hapo yupo pekee yake huyo mbweha hana jeuri....

Bonta Kiraka 的头像
Bonta Kiraka1 年前

Mwamba anatembelea upepo wa brother ake mabaka 💪✌️

相关视频