Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Kumekucha wazee mida ya kupena lawama. 🌄

20,241 Aufrufe • vor 15 Tagen •via X (Twitter)

20 Kommentare

Profilbild von Mkurungwa pori 🌲
Mkurungwa pori 🌲vor 14 Tagen

Hapo kwenye aman ya moyo na utajiri havijawahi kukaa pamoja 🤦🏼‍♂️

Profilbild von MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)vor 14 Tagen

Sahihi

Profilbild von Txhaiq
Txhaiqvor 14 Tagen

Kuna kitabu cha dini kimoja kinamstari unasema " ufalme wa mbingu hupatikana kwanguvu nao wenye nguvu watauteka unatekwa " Facts of over Faith

Profilbild von 𝗭𝗘𝗗 og
𝗭𝗘𝗗 ogvor 14 Tagen

Maisha haya ukisikiliza sana shauri unapotea nenda unavyojua

Profilbild von checheni🦺
checheni🦺vor 15 Tagen

leo kwa mara ya kwanza mwaisa (mwakibete) nimemuelewa.✍️

Profilbild von MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)vor 15 Tagen

Sahihi kabisa

Profilbild von Geo Eng 💫💫
Geo Eng 💫💫vor 14 Tagen

If you don't eat you will be eaten Jamaa kaongea uhalisia kabisa

Profilbild von Mkurungwa pori 🌲
Mkurungwa pori 🌲vor 14 Tagen

lakin mlisema jamaa ana fake co magari anarudisha lin alikokodisha au chuki 😎

Profilbild von Mbamba-Bay Finest
Mbamba-Bay Finestvor 15 Tagen

Kaongea ukweli na lipo la kujifunza

Profilbild von MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)vor 15 Tagen

Naaam 👏🏿

Profilbild von Mtumish✝️
Mtumish✝️vor 14 Tagen

Leo ni leo…

Profilbild von Mbuzi
Mbuzivor 14 Tagen

Mshahara wa dhambi ni mauti.

Profilbild von Kelvin⚽
Kelvin⚽vor 15 Tagen

Kumekucha

Profilbild von Wit James
Wit Jamesvor 14 Tagen

Ameweka wazi kuwa yeye amechagua shetani. Kama unamtaka Mungu, usitamani kuwa na Mali kama zake

Profilbild von Mbuzi
Mbuzivor 14 Tagen

Amani ya moyo haikai pamoja na kutoa kafara.

Profilbild von Simon Samuel🦅
Simon Samuel🦅vor 14 Tagen

maisha ya mtu si jinsi unavyoona bali ni vile usivyoona

Profilbild von Samwel Adam
Samwel Adamvor 14 Tagen

Mwanetu leo umeongea fact

Profilbild von superman
supermanvor 14 Tagen

Akili mingi sana

Profilbild von BIDDALMASK
BIDDALMASKvor 14 Tagen

WATCH YOU BACK OR IS TOO LATE

Profilbild von APT0⚡️
APT0⚡️vor 15 Tagen

Mali zinahitaji sadaka fact📌

Ähnliche Videos

Hii wazee muwache mambo ya viagra😀
1:21

Sensitive content

Hii wazee muwache mambo ya viagra😀

SWANGET_chebarit

10,067 Aufrufe • vor 2 Jahren