Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

188,742 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)

10 Kommentare

Profilbild von Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊vor 1 Jahr

Ubungo tuna siku ya pili hatuna maji kumbe kuna watu wanamwaga tu maji 😄

Profilbild von 🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿vor 1 Jahr

Kumbe kuna watu huwa wanasoma Post zangu kimya kimya 😅😂😅🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Profilbild von Tindo
Tindovor 1 Jahr

Jua bado kali sana mzee... Subiri kupoe kidgo

Profilbild von M A G I R I
M A G I R Ivor 1 Jahr

😀😀

Profilbild von MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪vor 1 Jahr

Maji ya kawaida si yapogo bombani na ya mvua sasa haya yanakuwaje maji ya kawaida 🙌🙌🤣🤣

Profilbild von 𝔇 𝔞 𝔳 𝔢 🇹🇿☆
𝔇 𝔞 𝔳 𝔢 🇹🇿☆vor 1 Jahr

Na ni salama kutumia kukata kiu.

Profilbild von Pierre Bemba
Pierre Bembavor 1 Jahr

Mzee hawa watu huwa unawapata wapi😂😂😂😂😂

Profilbild von M A G I R I
M A G I R Ivor 1 Jahr

Kula shule hiyo, mzee.

Profilbild von ~Brown Bear~
~Brown Bear~vor 1 Jahr

Maji gani tena na mtaani hakuna maji

Profilbild von Baba Assad CAG🇹🇿
Baba Assad CAG🇹🇿vor 1 Jahr

Kwamba hayo maji unaweza kunywa? Anyway mbona hajasema wale nini ili wapate maji mengi?

Ähnliche Videos

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemtaka Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (DAWASA), Kiunga Kingu, akae pembeni ya majukumu yake kwa muda, pia amemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji Maji-DAWASA, Shaban Mkwanywe na kuanzia leo June 30,2024 ameiweka DAWASA chini ya uangalizi maalum wa Wizara ya Maji ili kuboresha utendaji wake kufuatia uzembe uliopelekea visima kukosa maji na kufanya Wakazi wa Dar es salaam kukosa maji. Aweso ametangaza uamuzi huo leo baada ya kufanya ziara ya kimkakati na ya kushtukiza katika Ofisi za DAWASA zilizopo Ubungo Dar es salaam ili kupata maelezo ya Watendaji ya sababu za Watu kukosa maji na baada ya kushindwa kuridhishwa na majibu aliamua kuzungukia matanki ya maji katika maeneo manne tofauti ikiwemo tanki la Ardhi UDSM na Kibamba huku akituma Timu nyingine kwenda kukagua matanki ya Kigamboni ambapo imebainika matanki kadhaa hayana maji huku mengine yakiwa na maji kidogo ukilinganisha na mahitaji ya Wananchi lakini Watendaji wa DAWASA wameshindwa kueleza sababu iliyopelekea uhaba huo wa maji. Aweso amesema “Mwanzoni kulipokuwa kunakosekana maji tulikuwa tunasema shida ni vyanzo vya maji vimekauka hakuna maji, TANESCO umeme hamna lakini leo vyanzo vyote vina maji, umeme upo, niambieni kwanini hatuna maji kwenye matanki?, kwanini Wananchi wanateseka, wanalalamika wanapiga kelele kwenye Serikali, niiombe Bodi kama CEO DAWASA hajaenda likizo kidogo akakae likizo kwanza atuachie nafasi yetu tutaisimamia wenyewe” Ziara ya Aweso leo imekuja baada ya ziara ya Katibu Mkuu wa Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri aliyoifanya kwa siku mbili kujionea utendaji kazi wa DAWASA na hali ya upatikanaji wa maji Dar es salaam ambapo amebaini uzembe aliouwasilisha kwa Waziri Aweso leo ikiwemo miundombinu ya maji kuwa chakavu, maji kupotea bila usimamizi, Watendaji wa DAWASA wa ngazi za chini kutopewa stahiki zao muhimu na kupelekea kufanya kazi bila hamasa nzuri na hata kupelekea kuwajibu vibaya Wateja wa maji. #MillardAyoUPDATES

millardayo

66,035 Aufrufe • vor 1 Jahr