Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kuna nini Tunduma?
63,387 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Huyo ni dereva mshamba, tunduma nimekaa zaidi ya miezi 5, na hakuta starehe yeyote ya kumfanya mtu ajisahau, malaya watunduma wachafu afu vibonge tu, Huyo inaonekana hajawahi kutembelea sehemu za starehe ndo maana kadata na tunduma kamji kadoko unakatembea kwa mguu lisaa 1 tu

Nyie mnakuita Tunduma sisi tunakuita nyumbani.... Home sweet home

got a min for a new song?

Ukiacha malaya wachafu-wachafu,unaweza kupata starehe gani Tunduma zaidi ya miji mingine mikubwa?

Hapo Ni Maskani Kabisa , Huyo jamaa anaonekana mgeni wa Malaya na Starehe 😆 Tunduma Kuna Malaya Wa Mataifa Mbali mbali STAREHE Asa ndo Kitu cha kushangaa Hicho ???

😂😂😂😂😂anakwambia kama unaweza na wewe njoo ukae siku tatu then urudi na hela nyumbani

😂😂😂😂

Mgeni wa starehe uyo, tunduma malaya hawaogi wiki halafu umalize pesa?

Nime andika nikafuta nika andika tena nikafuta,anway @IbRaH_ShEbY elezea kidogo.😂

My dear hii ni zaidi ya dar

Kwanini
