Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kuna Zumaridi Alafu Kuna Hawa...
57,836 görüntüleme • 3 yıl önce •via X (Twitter)
30 Yorum

hutaki kuitambua Biblia, lakini bado unatambua uwepo wa Mungu! Wewe ulijuaje kuna Mungu?

Shetani anatumia nguvu kubwa sana kuwapotosha watu wasiijue kweli,basi iweni na akili na kutambua nyakati na majira tuliyonayo sasa...Mungu anawajua walio wake

Namuelewa sana Kagame kwa sasa.

Daahh......!! Hizi dini zingine hizi,mtu analeta story tu,hana hata mstari mmoja wa andiko,yeye anazungumzia mashOga na walevi? STUPID.

ila waumini wa dini tunakuaga wapuuzi sana.hapo kwenye ushoga unasikia baadhi ya waumini wakicheka kicheko cha kuashiria wanafurahia anachokisema uyo jamaa

Shetani alishashindwa siku nyingi sana hapa anahangaika tu.

Maandiko yanasema kwamba zichunguzeni hizo roho na mtaona matunda yake . Kuna mawakala wa shetani hadi makanisani wamo kwahiyo msishangae kabisaa

Mtu kama huyo ni wakumpiga risasi anaongea upuuzi badala ya kukemea afu anajiita mtumishi Wa Mungu

Akamatwe huyu

@KelvinRuga

Kala mpunga wa ulaya wa ma guy then anaupa promote😂😂😂

Ila wasukuma! hata wawe maprofesa na wote wawe Phd holders lakini asili yao ni ujinga.

Shetani shetani! Anatangaza ushoga kanisani?

Pumbavu kabisa awa wachungaji washenz wasiokuwa wa ukweli wanachafua sana dini yetu....

Hivi wizara ya mambo ya ndani kwanini mnaeuhusu makanisani kama haya

Mwanzilishi ni mtu anaitwa Ceasser Masisi, anafanya deduction kwenye mambo ya msingi. Stupid

Halafu huyu anaruhusiwa kuhubiri upuuzi kama huu?

Hawa ndio wale Anti-Christ kabisa ndio maana wanatumia ishara ya upinde wa Mvua yote hayo ni kuupinga Uumbaji wa Mungu wa Kweli

Kama sauti niyakuingiza hivi.

Hili kanisa sijui kama limesajiliwa na kama limesajiliwa aliyesajili ana upungufu wa akili...... Ifike mahala sheria kali zichukuliwe kwa wote wanaonajinsi imani za watu.

Inamaana hapo alipo hatumii biblia yyte ile u anatumia kitabu gani

Mmh! Hii ni hatari aisee.

Ivi humu humu Tz au...serikali wekeni mipaka ya hizi imani elimu ya dini kama hii Haifai kabisa

Yani shetani yuko kazini wazi wazi akuna kujificha tena paka amalize agenda yake

Makanisa hayo na wachungaji zao

🤣😂ila kwa haya inaonyesha jinsi gan tunaumwa Afya ya akil

Mbona anaonekani ni shoga pia

Dunia niokoe aiseee cjui tunaelekea wap

@TambaraRamadhan njoo uone maajabu ya dini

Kwani uongo
Benzer Videolar
Sensitive content
Halafu kuna hawa🙇🏻
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊
113,299 görüntüleme • 10 ay önce
Alafu kuna nyoka unaicheat inakuuliza umekosa nini kwangu 😁
Kaka mkubwa
42,773 görüntüleme • 2 ay önce
Watu wako job Alafu kuna hakina nyie 🤣😹🤣😹
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻♀️❣️
11,640 görüntüleme • 2 yıl önce

