正在加载视频...
视频加载失败
Kununa na ukimya ni vitu tofauti.
39,249 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
17 条评论

Usitutafutie maungano ya lazima aseeeeh

Uyu akiri ana ziro mtu yoyote anaesema yesu ni mungu muondoe kabisa kwenye akiri tambulishi uo ni mzigo kusoma kote na maphd lakini eti na yeye anasema yesu ni mungu yani yesu ana mama kama yeye na kalelewa na baba wa kambo pia yesu kasheleekea pasaka

@CaeJay_004

Hakika 💯%

Tangu muingize dini kwenye siasa hata nyinyi nawaona kama wanasiasa tu hamna lolote maana badara ya kuleta Hali njema ndio mnaochochea uhalibifu halafu huku mkijiveka ngozi za kondoo🫴💪👉

Huyo mtu haogopi kumwaga damu ya mwingine, asante Askofu

Timizeni kile kilichowafanya mlale chini kwa zaidi ya saa 1 kifudifudi .

Amenyoosha vema

Askofu wa hivi wachunguzwe isije kuwa wanatumia dini kufikisha ajenda zao binafsi. Yaani mwanzo mwisho ni kuhamasisha hasira.

Pesa ya wajumbe ni Haram,,maana ya pesa hiyo ni Rushwa!!.....ila chakupendeza huyu asikofu anaomba pesa Haram....!!!........Yesu asingeikubali pesa hiyo,Aminaaaa!!!

@MuggyMaggy Huu ndiyo ukweli

Jinga sanaa

Mimi nakemea na kununa

Sauti mfano wa hii zilileta matatizo Rwanda. Maneno matamu yanayokusudia chuki. Inamana kwenue siasa za tz sasa hvi hamna watu wazuri hadi utaowataka wewe bagonza. Ajabu sana.

Kungekuwa na nafasi ya kiongozi wa dini ungestahili kuwa rais wao

tushasema birika likichemka,hamna mtu kutoka,tutamenyana humu humu

Kuamasisha machafuko tu kukemea vita aaah😁😁
