Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kutoa Hii Milioni 10 ya....
30,168 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
11 Yorum

Latto 𝕏1 yıl önce
Twaha Kiduku Kamcheka saana Mwenzake 😂😂😂😂 Akilia baada ya Kupigwa kwenye Pambano 😂😂 Ila Boxing Tanzania 🇹🇿 Msikilize Msakinyo, then Kiduku.. Video kwa Comments👇

KIKOTI 🇹🇿1 yıl önce
Kiduku ni fala 😂😂😂😂

d_jp1 yıl önce
Hahaha twaha mjinga kweli ety hata ya baba hupati 😂😂

The Diplomat1 yıl önce
Ila inachekesha 😂😂😂😂😂

Mushingantahe🧠1 yıl önce
Kiduku na yeye ameamua kifanya boxing ya majigambo. Spana imenyooka

Mohammed Ahmed1 yıl önce
🤣🤣🤣🤣🤣, dah et hata ya baba hupati

Juma Dintor1 yıl önce
Twaha kaongea kikubwa hata akipigwa Ila milioni 250 imeingia

28_Nassir1 yıl önce
Ila Twaha mswahili😂😂

Ndaba G1 yıl önce
🤣🤣 hata milion 10 ya babu hupati mbwa wewe

Ibrahim mongomongo1 yıl önce
😂 twaha mwehu sana

Mecky1 yıl önce
Twaha amekuwa mmbea mmbea sana

