Loading video...
Video Failed to Load
Kwa mara ya kwanza...
161,224 views โข 1 year ago โขvia X (Twitter)
12 Comments

Kiredio Kaenda kununua wadada wanaojiuza๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ Alooooo ๐โโ๏ธ Hii ina ukakasi Video kwa Comments ๐

Mweee roho imeniuma sana jamani, yani ndo maana mi kwangu marafuku kumwaga chakula na nashukuru nimekuzwa katika misingi hiyo coz just look at this?! Dada yupo tayari kutumika kisa chakula afu we unakipata unashika shika unatupa, mweeeeeee nimeumia

does this song fit Miami

Huyo binti alietaka kununuliwa chakula anongea kwa nyenyekevu mno hadi nimeingiwa na huruma

Huyu dada wa 3 ni ana shida sana nafikiri hapendi kua hivi halfu hata ongea yake ni tofauti na wengine hao tena ila shida ni huo ugumu wa maisha

Maskini โBasi ninunulie chakulaโ na hapo angepewa pesa angeenda na njaa ๐ฅบ watakuja kufia vitandani hawa

Duh kaomba chakula tuu hii inamaanisha Kuna wengi wanafanya hio kazi ili kupata angalau msosi tuu. MAISHA NI MAGUM

Miaka ya 2004/2005 kule Kinondoni Makaburini kulikua na mida ya ofa kuanzia saa tano usiku, ilikua inaitwa โmpita njia nae apeweโ. Hatari hiyo mzee wangu @fc_nvn160 ๐คฃ๐คฃ

Daah kwa chakula tu mtu yupo tayari kutoa game๐

huyu wa CHAKULA mtafute weka namba yake tumpe MTAJI inaonesha yupo hapo kwasababu ya SHIDA tuu TUINUANE

Haya maisha๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ Huyo wa mwisho kaniumiza aisee๐๐

Huyu dada wamwisho anaonekan hizo sio mamb zake kaomba chakula tu


