Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Kwa mara ya kwanza...

161,224 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 12

Фото профиля Latto 𝕏
Latto 𝕏1 год назад

Kiredio Kaenda kununua wadada wanaojiuza🙆‍♂️🙆‍♂️ Alooooo 🙆‍♂️ Hii ina ukakasi Video kwa Comments 👇

Фото профиля Extreme introvert 🤦🏼‍♀️💫
Extreme introvert 🤦🏼‍♀️💫1 год назад

Mweee roho imeniuma sana jamani, yani ndo maana mi kwangu marafuku kumwaga chakula na nashukuru nimekuzwa katika misingi hiyo coz just look at this?! Dada yupo tayari kutumika kisa chakula afu we unakipata unashika shika unatupa, mweeeeeee nimeumia

Фото профиля Solar Heavy
Solar Heavy1 год назад

does this song fit Miami

Фото профиля elly
elly1 год назад

Huyo binti alietaka kununuliwa chakula anongea kwa nyenyekevu mno hadi nimeingiwa na huruma

Фото профиля Boniventure Josephine Makanza
Boniventure Josephine Makanza1 год назад

Huyu dada wa 3 ni ana shida sana nafikiri hapendi kua hivi halfu hata ongea yake ni tofauti na wengine hao tena ila shida ni huo ugumu wa maisha

Фото профиля Kamamaa
Kamamaa1 год назад

Maskini “Basi ninunulie chakula” na hapo angepewa pesa angeenda na njaa 🥺 watakuja kufia vitandani hawa

Фото профиля Prof Fimbo
Prof Fimbo1 год назад

Duh kaomba chakula tuu hii inamaanisha Kuna wengi wanafanya hio kazi ili kupata angalau msosi tuu. MAISHA NI MAGUM

Фото профиля J.4
J.41 год назад

Miaka ya 2004/2005 kule Kinondoni Makaburini kulikua na mida ya ofa kuanzia saa tano usiku, ilikua inaitwa “mpita njia nae apewe”. Hatari hiyo mzee wangu @fc_nvn160 🤣🤣

Фото профиля WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD1 год назад

Daah kwa chakula tu mtu yupo tayari kutoa game💔

Фото профиля Busara__za__Stevie
Busara__za__Stevie1 год назад

huyu wa CHAKULA mtafute weka namba yake tumpe MTAJI inaonesha yupo hapo kwasababu ya SHIDA tuu TUINUANE

Фото профиля mimilicious🌹🍒
mimilicious🌹🍒1 год назад

Haya maisha😭😭😭😭😭😭😭 Huyo wa mwisho kaniumiza aisee💔💔

Фото профиля Meddy
Meddy1 год назад

Huyu dada wamwisho anaonekan hizo sio mamb zake kaomba chakula tu

Похожие видео