Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Kwa mliojaaliwa..
58,758 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

MELODY1 yıl önce
Hakuna anae penda matatizo matatizo Huwa hayapigi hodi na huja kwenye maisha yetu bila kibali chetu Kila mtu anapenda awe na afya njema na maisha marefu. Pole sana Dogo janja Mungu anae wabariki wengine asikupite akuponye na wewe uwe salama. 🙏🏽

Eric Senior1 yıl önce
Mwenyezi mungu asimamie katika nyakati za matibabu apone mapema 🙏

Godfrey Laswai1 yıl önce
Pamoja Kaka. Mungu asimamie na amponye. Amina

abudhabi1 yıl önce
Pesa za magoli inaniuma kuna watu wagonjwa

MALCOM-X 🇹🇿1 yıl önce
Kaka ivi serikal ainaga kitu kinaitwa kuludisha kwa jamii. aya mamb uyaskie yasikkute

BIDEN1 yıl önce
Aisee.. Mungu amsimamie

BigJahMan1 yıl önce
Duh pole yake.

Eng. Amani Abel1 yıl önce
Mdogo wetu huyu apone @iharidi

JOBLESS 𓆲1 yıl önce
God will make a way

Rick Issaya1 yıl önce
🤝


